Jitambue kama una Ugonjwa wa akili

Jitambue kama una Ugonjwa wa akili

Habari

Watu wengi inasemekana wana matatizo mengi lakini hawatafuti utatuzi baadae inakuja kuwa shida kubwa
Matatizo ya ugonjwa wa akili sio lazima kuona mutu anatembea na makopo na kuongea kwa sauti mwenywe kupiga na kukimbiza watu ni kichaa unaweza kuwa unavaa suti na kufanya kazi pale bandarini au TRA kumbe wewe unayo matatizo ya akili tena makubwa

Fuatana nami japo ni kwa muhatasari
Matatizo ya akili yanasababishwa na maisha pia tunayoishi
Matatizo haya yamegawanyika katika sehemu tatu
1-Kihisia
2-Kimwili
3-Kiakili


1-Kihisia
Ukiwa na tatizo la kisaikologia dalili zake katika hisia ni
Kuwa na mawazo sana lakini kutojua hasa wawaza nini
Kuwa na huzuni mda mwingi wewe ni kuwa nasura kunyamano
Kuwa na furaha iliozidi kiwango mda wote kuwa unafuraha ilipitiliza usifurai juu ya hilo hayo ni matatizo makubwa sana tafuta tiba

Kuwa mpenda mtu wa kipekee mda wote unakaa mwenyewe na hata ukikaa na watu wewe ni ububu


2-Kimwili
Kukosa usingizi
Kulala sanaa unalala saa tatu usiku unaamka saa nne usingizi wa fo-fo-fo ndio nauzungumzia

Kukosa hamu ya kulala
Kukosa hamu ya tendo la ndoa
Uchovu mda wote
Kupatwa na ganzi
Kuanza kufanya mambo ambayo hapo awali hukuwai kufanya
Kukosa kumbukumbu unapoteza laptop unatafuta kwenye mfuko wa shati

Kiakili

IQ yako kushuka
Kusahau sahau mambo
Kuchangia mawazo yasiyofaa au kufanya mambo kinyume na utaratibu

Kutokuwa na utulivu wakati wa kufanya jambo mf unapika mara unaacha kupika unaenda kufua unaacha kufua hapo hapo unaenda kulima akili inakuwa haijabase jambo moja
i
Kukosa kujiamini hapa wengi wanahusika unakosa kujiamini hujaiba walala uhalifu wowote but hofu inakuandama na woga mwingi mbaya sana hii

Hayo ni baadhi ya mambo ambayo 99% inaminika ni dalili Za magonjwa akili
Unashauriwa ukiona dalili hizi fika chap kwa wataalamu upate tiba
Nashukuru


Pia
Umefahamika vyema ila andika kwa kituo usichanganye maneno.Kwa ufupi umekusudia kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja yaani kufikiri na kutenda hapo hapo ni kulazimisha maisha.

Katika nyanja za kiimani kufanya jambo kisha ulikaliwacha na kukamata jengine kunaufanya moyo ufubae
 
Kuacha ubunge afu unachukua fomu ya kugombea ubunge tena
 
Leo unafatilia mambo madawa kesho wamama waliotelekezwa, hujamaliza wamama umehamia kwa walimu.

Huu ni UTAHIRA.
 
Umefahamika vyema ila andika kwa kituo usichanganye maneno.Kwa ufupi umekusudia kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja yaani kufikiri na kutenda hapo hapo ni kulazimisha maisha.

Katika nyanja za kiimani kufanya jambo kisha ulikaliwacha na kukamata jengine kunaufanya moyo ufubae
Sawa
 
Back
Top Bottom