Jitambue kama una Ugonjwa wa akili

Jitambue kama una Ugonjwa wa akili

Mada za matat
Habari
Nb-- (naomba Uzi usihamishwe jukwaa)
Watu wengi inasemekana wana matatizo mengi lakini hawatafuti utatuzi baadae inakuja kuwa shida kubwa
Matatizo ya ugonjwa wa akili sio lazima kuona mutu anatembea na makopo na kuongea kwa sauti mwenywe kupiga na kukimbiza watu ni kichaa unaweza kuwa unavaa suti na kufanya kazi pale bandarini au TRA kumbe wewe unayo matatizo ya akili tena makubwa

Fuatana nami japo ni kwa muhatasari
Matatizo ya akili yanasababishwa na maisha pia tunayoishi
Matatizo haya yamegawanyika katika sehemu tatu
1-Kihisia
2-Kimwili
3-Kiakili

1-Kihisia
Ukiwa na tatizo la kisaikologia dalili zake katika hisia ni
Kuwa na mawazo sana lakini kutojua hasa wawaza nini
Kuwa na huzuni mda mwingi wewe ni kuwa nasura kunyamano
Kuwa na furaha iliozidi kiwango mda wote kuwa unafuraha ilipitiliza usifurai juu ya hilo hayo ni matatizo makubwa sana tafuta tiba

Kuwa mpenda mtu wa kipekee mda wote unakaa mwenyewe na hata ukikaa na watu wewe ni ububu

2-Kimwili
Kukosa usingizi
Kulala sanaa unalala saa tatu usiku unaamka saa nne usingizi wa fo-fo-fo ndio nauzungumzia

Kukosa hamu ya kulala
Kukosa hamu ya tendo la ndoa
Uchovu mda wote
Kupatwa na ganzi
Kuanza kufanya mambo ambayo hapo awali hukuwai kufanya
Kukosa kumbukumbu unapoteza laptop unatafuta kwenye mfuko wa shati

Kiakili

IQ yako kushuka
Kusahau sahau mambo
Kuchangia mawazo yasiyofaa au kufanya mambo kinyume na utaratibu

Kutokuwa na utulivu wakati wa kufanya jambo mf unapika mara unaacha kupika unaenda kufua unaacha kufua hapo hapo unaenda kulima akili inakuwa haijabase jambo moja

Kukosa kujiamini hapa wengi wanahusika unakosa kujiamini hujaiba walala uhalifu wowote but hofu inakuandama na woga mwingi mbaya sana hii

Hayo ni baadhi ya mambo ambayo 99% inaminika ni dalili Za magonjwa akili
Unashauriwa ukiona dalili hizi fika chap kwa wataalamu upate tiba
Nashukuru

Pia

Mada za matatizo ya akili nikiziona huwa nacheka sana kwasababu watoa maada wote huwa ama wana matatizo ya ulemavu wa akili au wan viashiria vya ulemavu wa akili. Nimeona mpaka wanasaikolojia wa humu jinsi wanavyoprisenti hii maada mpaka nashangaa. Kwa iyo kijana nenda hospitali kapate matibabu haraka sana
 
Sexuality disiorder ipo kwenye magonjwa ya akili lakini pia inawwza kuwa dalili ya ukichaa.
I think is not a disorder. Ni addiction kama pombe tu. Otherwise tuseme kuna alcoholic disorder.
Diffeent between disorder na addiction mara nyingi disorder huzaliwa nayo mtu while addiction tujijengea sisi wenyewe.

Sexual disorder zinaweza kuwa ushoga, mtu kujiihisi labda si jinsia yake..
Lakin nyeto ni addiction amvayo hujengwa na tabia
 
Unapotosha,

Ukichaa ni ugonjwa ambao upo ndani ya magonjwa ya akili,

Hivyo basi si kila mtu ni kichaa,
Hiyo ya kuokota makopo ni ugonjwa wa akili unaojitegemea ktk magonjwa ya akili,

Hiyo ya kukosa raha au mawazo sio ukichaa hiyo ni mood disorders ambayo ipo kwenye magonjwa ya akili,

Ukichaa ni psychosis na si kama unavyoudanganya umma,

Nenda kasome kibao chochote ktk hospitali za afya ya akili uone kama utalikuta hilo neno
Naumwa uo ugonjwa. Naomba ushauri.
 
I think is not a disorder. Ni addiction kama pombe tu. Otherwise tuseme kuna alcoholic disorder.
Diffeent between disorder na addiction mara nyingi disorder huzaliwa nayo mtu while addiction tujijengea sisi wenyewe.

Sexual disorder zinaweza kuwa ushoga, mtu kujiihisi labda si jinsia yake..
Lakin nyeto ni addiction amvayo hujengwa na tabia
Hapana,

Disiorder maana yake ni deviation from normal na hakuna causative agent,

Ktk psychiatry tuna sexuality disiorder nyingi tu, hiyo ya kupiga punyeto nimesema inaweza kuwa disiorder au dalili but itategemea na situation yenyewe ya kile unachokiona,

Addiction ni kitendo cha kushindwa kuacha illicit drugs ambazo zinaweza kuwa alcohol, heroin, canabis n.k

Kwq mantiki hiyo mtu anayepiga punyeto huwezi kumuita teja i mean addict
 
Naumwa uo ugonjwa. Naomba ushauri.
Una umri gani?
Jinsia yako ni ipi?
Unafanya kazi gani?
Unasali dhehebu gani?

Kwenu wewe ni mtoto wa ngap?
Umeoa au umeolewa?
Kama ndio je unawatoto wangapi?
Je wote ni wazima wa afya ya akili?

Elimu yako ni ipi?

Je Ktk ukoo wenu kuna historia ya mtu yeyote kuugua magonjwa ya akili?

Je unatumia pombe au sigara kali?
Kama ni ndio ni kwa muda gani hadi hivi sasa?

Unadhani tatizo lako linasababishwa na nini?

Hayo ni masswali nimeyatoa sehemu,
Kama unahisi unatatizo nenda hospitali kwa msaada zaidi
Humu mtandaoni ni kuvunja sheria na maadili.
 
Hapana,

Disiorder maana yake ni deviation from normal na hakuna causative agent,

Ktk psychiatry tuna sexuality disiorder nyingi tu, hiyo ya kupiga punyeto nimesema inaweza kuwa disiorder au dalili but itategemea na situation yenyewe ya kile unachokiona,

Addiction ni kitendo cha kushindwa kuacha illicit drugs ambazo zinaweza kuwa alcohol, heroin, canabis n.k

Kwq mantiki hiyo mtu anayepiga punyeto huwezi kumuita teja i mean addict
Large percent ya wapiga nyeto walianza kama tabia then ikawa addictive. And yes disorder huwa zina source zake,
Kuna diffective genesor bad genes, hormonal imbalance hivi vyote vinaweza vikasababisha disorders.
Disorder mtu hawezi acha ata afanyaje, lakini addiction mtu anaweza acha akajirudi kawaida.

mtu anazaliwa hajui punyeto ni nn, anakuja kuifaham kutokana na jamii inayomzunguka. Na si kwamba ni disorder ila akishazamia kweye hiyo tabia ana reprogram brain yake ambayo baadae inakuwa addictive kama vile madawa ya kulevya. Even though akiamua kuacha anaacha.

Sexual disorder huwezi acha , haswa kwa zile ambazo zinahusisha deffective genes na hormonal imbalance no matter how much mtu atajarib kuhide lakin itamsumbua tu. Kama ma shoga , na wasagaji ( ambao hawajajifunza kwa kutoka kwa watu ila balance za mwili zimekaa vibay).
 
Ilo la kusema unafanya kitu ambacho hujatarajia kukifanya tupo kibaaao umu pamoja na wewe
 
Duuh halafu kumbe hata mimi ni kichaa sometimes...
 
Hapana,

Disiorder maana yake ni deviation from normal na hakuna causative agent,

Ktk psychiatry tuna sexuality disiorder nyingi tu, hiyo ya kupiga punyeto nimesema inaweza kuwa disiorder au dalili but itategemea na situation yenyewe ya kile unachokiona,

Addiction ni kitendo cha kushindwa kuacha illicit drugs ambazo zinaweza kuwa alcohol, heroin, canabis n.k

Kwq mantiki hiyo mtu anayepiga punyeto huwezi kumuita teja i mean addict
Teja wa Punyeto😂😂😂😂😂
 
Kutokua na utulivu. Stigglers gorge, madaraja, reli, milioni 50 kila kijiji, viwanda 100 kila wilaya, kutengua, kuteua,flyover,kuropoka.sasa nimeelewa kwa nini .asante mtoa mada
 
Back
Top Bottom