Heri ya Mwaka mpya 2012 wana JF.Tokea nimeanza mambo ya mausiano ya kima penzi nimebaatika kuwa wengi kiasi,ila kwa kipindi cha mfululizo hadi sasa nimekua na wapenzi wanne na majina yao yanaanzia na herufi B`nia Beatres wawili na Bahati wawili.Je hi inawezakua na maana yeyote? Naombeni msaada.
Uzinzi mtupu!!! Hata aibu huoni. Mi g2 mingine bhana UZINZI UZINZI. Cku yaja utaona km hao B's wako watkusaidia! Hofyooo!!!
Lakin hajauliza anatakiwa kufanya nni,,cha zaid alitaka kujua kupata wadada wenye majna mfuluiza B''ina maana yyote mbaya au nzuri????sawa aiseehongera kwa kubahatika kuwa na wapenzi wengi kiasi
kuwa na akina -B wanne kunamaanisha inabidi uwe na akina -C sita, D watano, E saba na akina-F kumi!
Mh kaazi kweli kweli. Chagua mmoja kati yao then utulie kijana dunia ngumu na hili li
Ukimwi.com
Hata visivyo na maana vinalazimishiwa maana.
Ukijua nijuze, mi nataka kujua kwanini siwezi kuchungulia ndani ya pua yangu bila kioo.
Heri ya Mwaka mpya 2012 wana JF.Tokea nimeanza mambo ya mausiano ya kima penzi nimebaatika kuwa wengi kiasi,ila kwa kipindi cha mfululizo hadi sasa nimekua na wapenzi wanne na majina yao yanaanzia na herufi B`nia Beatres wawili na Bahati wawili.Je hi inawezakua na maana yeyote? Naombeni msaada.
nilipoona kichwa cha habari nikadhani anataka kutusimanga sie kina Bishanga !duh, mna mambo
tafuta utabiri google
herufi za mwanzo za majina na tabia zao
ukimaliza tafuta nyota za miezi walizozaliwa
afu tafuta tabia za wanawake za makabila wanayotoka
afu tafuta tabia zao kwa kuangalia shape za nyuso zao eg duara, nyembamba, oval etc
afu tafuta tabia zao kwa kuangalia mistari kwenye mikono yao
labda utapata unachotaka kusikia
JIBU: Ni kwa sababu ndani ya pua kuna giza, kwa hiyo bila mwanga huweziona ndani.
Heri ya Mwaka mpya 2012 wana JF.Tokea nimeanza mambo ya mausiano ya kima penzi nimebaatika kuwa wengi kiasi,ila kwa kipindi cha mfululizo hadi sasa nimekua na wapenzi wanne na majina yao yanaanzia na herufi B`nia Beatres wawili na Bahati wawili.Je hi inawezakua na maana yeyote? Naombeni msaada.
Kioo ni taa?
Kinakuja na mwanga?
Kioo kinaakisi mwanga!!vp darasa la 3 uliliruka wewe?!!