Nashindwa kumuelewa jirani yangu na ananifanya nisiwe comfortable.... Nyumba ninayoishi tupo watano kila mtu na kwake anaijtegemea wote ni vijana na hakuna mwenye familia. Tupo wadada wawili tu. Huyu dada jirani yangu alinikuta wakati akihamia hapo na mwanzoni alipata matatizo nikamsaidia kama kama ambavyo ningemsaidia binadamu yoyote. Aliumwa na hakuwa na ndugu karibu (kwao Shinyanga) hivyo nilimhudumia kwa ukarimu wote nilimpikia, na kumsaidia kufanya usafi hadi alipopata nafuu.
Baada ya kupona maisha yaliendelea japo hatukua na ukaribu zaidi ya salamu na mambo basic kama kushare bills. Kumbuka sisi ni vijana na pretty much ndio tumeanza kujitegema so hatujajiestablish kihiivyo...ila nimegundua huyu jirani yangu ni kama anawivu ama sijui ni kitu gani. Alipokuja kwangu kila alichokiona alitaka kujua ni menunua bei gani na vingine alidiriki kuniuliza umenunuliwa na mpenzi wako? Sikumbuki nilipotezeaje coz sionagi kama ni sawa ku disclose mambo yangu binafsi kwa mtu ambae sio wa karibu.
Ila naona ni kama tabia kila tukionana akiona nimebadilisha style atauliza umesuka bei gani, juzi kaniona na simu kaniuliza mbona hujanionyesha kitu kipya. yani hata nikinunua maybe kiblouse kipya lazima atauliza. Kinachonimaliza ni kwamba hata kama niko ndani napika ataongea from her room eeeeh jirani leo unapika samaki au leo unapika kitu flani? Hua namjibu kwa maneno machache tu.
Bottom line ni kwamba she makes me uncomfortable!!!!!!! Yani very uncomfortable!!!!! Akiona mpenzi wangu wangu yupo ndani atakuja kunigongea either aombe kitunguu au kibiriti.
Nisaidieni jirani wa hivi naishije nae?????
Mpe Yale majibu ya kipuuzi kwa maswali ya kijinga
Aaah lile shati nilokununulia wewe umehonga, Chinekeeeee. Afu huko kazini haya, waendelee tu kukuuliza nani anakufutia viatu[emoji125] [emoji125]Hahaha. Nimefanya nini tena?
Hahaha na abandike mlangoni bei ya vitu vyake vyote vya ndani...siku nyingine jamaa yako akija kukutembelea weka kibirit na kitunguu nje,akipiga hodi tu mwambie vitu vyuko nje tayar
nakosaga cha kusema tuuNakusubiri urudi
Hahaha basi na me kuanzia leo itabidi nikose cha kusema.nakosaga cha kusema tuu
Mimi ni kwa kua naona naonewa[emoji26]Hahaha basi na me kuanzia leo itabidi nikose cha kusema.
Basi yameisha jamani, jiandae kusmileMimi ni kwa kua naona naonewa[emoji26]
Hahah yeahhh na leo ni furahii dayyy!Basi yameisha jamani, jiandae kusmile
Location ya kuishi sijui masaki sijui wapi sio tatizo tatizo ni watu unaoishi nao!!! Sijakataa kuulizwa ila ni tabia mtu amejijengea na siipendi!!! Mtu ana upara ananiuliza nimesuka bei gani iweje? Nimenunua simu mpya anataka nimjulishe iweje? Au anauliaza kama nimenunuliwa na mpenzi? Lazima ni question her motives ama reasons za kuuliza hivi.Kuulizwa unapika nini na umenunua kiasi gani nayo imekuwa kesi? wengine wanauliza ili wapate ufaham wajichangishe wakatafute vya kwao, ukitaka usiulizwe kaishi masaki mama, sipati picha ukiishi nyumba yenye watoto alafu waombe kuangalia TV kwako
Aaah lile shati nilokununulia wewe umehonga, Chinekeeeee. Afu huko kazini haya, waendelee tu kukuuliza nani anakufutia viatu[emoji125] [emoji125]
Aah tutaeleweshana vizuri baadaye tehHahaha. Walinibananisha nikaahidi nikijua utani. Little did I know that word is word and word is bond.
Hahahahaha umepinda wewe walahiisiku nyingine jamaa yako akija kukutembelea weka kibirit na kitunguu nje,akipiga hodi tu mwambie vitu vyuko nje tayar
Eeeeeh?Watu wa aina hii wapo sana. Wazoee tu. Ukute hakuna zaidi ya admiring tu.
Kuna kina dada flani hivi tunafanya kazi eneo moja. Kila mara wananiuliza nani ananisafishia viatu, nanunua wapi nguo, yadda yadda yadda. Mwingine aliomba shati nililovaa nikajua utani, bwana we.... niliishia kumpa tu.