Jirani yangu simuelewi

Mtxt tena mwambie dushe lime Amka aje uumpe tamu ya robo
 
Kuwa makini bro, ibilisi ndio huwa anamaliza watu kwa dizaini hiyo.

Ukifanikiwa kuwahoji wale ambao ni HIV+ watakwambia kuwa walikutwa na mitego kama hiyo!
be strong!
 
Ulweso kua kua kwanza utajuwa
Mie mkubwa mkuu, mie mr kasafiri mwaka kaniacha pekeyangu nyumba hiyo ilikuwa na wapangaji 4 halafu hao wote wanaume na walikuwa wanaishi wawili wawili japo kila mtu anajitegemea kila kitu tunakutana kweye bili ya maji na umeme mbona nili ishi bila shida tena nikawa sister wao usijiendekeze
 
Ukijaribu tu imekula kwako, tena ukipewa hata msosi usile yote mitego yakuzoeana
 
mkuu hebu ngoja eee, so mimi sijiheshim ?

Sio kujisheshim huko unavyofikiria labda una tabia za ajabu la hasha ni ile hali ya kuona unaingilika maana na labda ni age mate yako na labda unavyojiweka mfano tu labda kaisha ona umeingiza wawili watatu anachukulia hawezi tega afu akakukosa na nisamehe kama umechukulia tofauti sikuwa na nia mbaya ni kuelezea uzoefu tu wa situation hizo
 
Huyo Dada, alikuwa amelala, ulipofika aliondoka akufungulie gate, tena hakuwa uchi huyo maana uliona nguo ya ndani chini ya huo mtandio. Chukulia poa tu.
 
UNYWAJI WA WANZUKI NI HATARI KWA FIKRA ZAKO.
 
Huyo Dada, alikuwa amelala, ulipofika aliondoka akufungulie gate, tena hakuwa uchi huyo maana uliona nguo ya ndani chini ya huo mtandio. Chukulia poa tu.

We jamaa mbona umemtolea maelezo jiran yangu kama unamjuwa vile
 
Sawa sawa mkuu nimekusoma
 
Ukijaribu tu imekula kwako, tena ukipewa hata msosi usile yote mitego yakuzoeana

Mkuu sinaga tabia za kula kwa watu na tushakuwa watu wazima sizan kuna watu wanakulaga kwe wenzao now days
 
Nafuu sikuwepo mkuu
 
Kuwa makini bro, ibilisi ndio huwa anamaliza watu kwa dizaini hiyo.

Ukifanikiwa kuwahoji wale ambao ni HIV+ watakwambia kuwa walikutwa na mitego kama hiyo!
be strong!

Da umetisha mkuu sawa nimekupata
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…