DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,567
- 5,968
Mkuu unapewa kitoweo. Kweli wabongo tunaishi maisha ya kuunga unga.
Mripoti kwa mama Dorothy gwajimaYaani anapenda tu kumuonea pasi na sababu. Yaani akifika tu malangoni, mtaa wote unafugumiza harufu ya pombe bila kusahau maneno machafu machafu
Akiingia ndani anamkunyuga mateke na makofi ya kila rangi bila huruma. Inauma sana wakuu. Binti wa watu alikuwa na kasura kake soft soft, kwa sasa kuna alama ya kisu shavuni. Yaani nowdays anatembea kwa kuchechemea
Mkewe ana tabia nzuri tu maskini. Nikikosa mboga huwa namuomba ananigea kidogo nalia kiugali changu. Dah!
Naumia moyo. Nianzie mahakama ipi wakuu?
Unaweza kumshauri aende kutoa taarifa kwa viongozi wa mtaa au dawati la jinsia inaweza kumfanya jamaa akapunguza kichapo.Yaani anapenda tu kumuonea pasi na sababu. Yaani akifika tu malangoni, mtaa wote unafugumiza harufu ya pombe bila kusahau maneno machafu machafu
Akiingia ndani anamkunyuga mateke na makofi ya kila rangi bila huruma. Inauma sana wakuu. Binti wa watu alikuwa na kasura kake soft soft, kwa sasa kuna alama ya kisu shavuni. Yaani nowdays anatembea kwa kuchechemea
Mkewe ana tabia nzuri tu maskini. Nikikosa mboga huwa namuomba ananigea kidogo nalia kiugali changu. Dah!
Naumia moyo. Nianzie mahakama ipi wakuu?
Utamponza mwaikimba
Siyo wote wana uwezo wa kuondoka baada ya kupata manyanyaso.Unataka kuwa mfariji ? La sivyo huyo mwanamama angeshaondoka hapo
Jirani ajitolee kumsaidia aisee, hata kwa kurepoti serikali za mitaa, maana atakuja kujisikia vby sana kama likimkuta jambo na yeye aliona mapema.Siyo wote wana uwezo wa kuondoka baada ya kupata manyanyaso.
Ndiyo maana wengine hupigwa mpaka kuuwawa lakini hawaondoki.
Pole sana mkuu. Mimi mzee wangu yuko hai ila kiukweli mahusiano yetu sio mazuri sana ni basi tu siku zinaenda... sababu mojawapo ni hilo suala la vipigo kwa mama. Huku ukubwani nilijiuliza swali gumu sana kwamba hata kama kwa mfano mama alikuwa anachiti bado hakukuwa na uhalali wa kutoa vipigo kiasi kile mbele ya watoto wake. Kina baba wengi wa kiafrika hawapendwi na watoto wao kwasababu ya manyanyaso watoto waliyoyashuhudia utotoni. Zile kumbukumbu huwa mbaya sana na hazifutiki. Binafsi kuna mama fulani alishawahi kuhusika kumnyanyasa mama yangu enzi nikiwa primary hadi leo sijasamehe ingawa yeye na mama walishamaliza tofauti zao. Mama kanisihi niachane na hilo suala ila mimi nimemjibu hili suala ni personal sana.NIkikumbuka namna marehemu babangu alimtesa marehemu mama kwa vipigo kisa ulevi huniuma sana nikiona kuna watu wanaendekeza huo upuzi hadi leo, inapaswa mwanaume upigwe kama wewe mtu wa hivi.
Wewe shida yako siyo kupigwa kwa hiyo pisi kali, bali unaogopa kukosa pa kuhemea pindi huyo demu akirudishwa kwa muumba wake.Yaani anapenda tu kumuonea pasi na sababu. Yaani akifika tu malangoni, mtaa wote unafugumiza harufu ya pombe bila kusahau maneno machafu machafu
Akiingia ndani anamkunyuga mateke na makofi ya kila rangi bila huruma. Inauma sana wakuu. Binti wa watu alikuwa na kasura kake soft soft, kwa sasa kuna alama ya kisu shavuni. Yaani nowdays anatembea kwa kuchechemea
Mkewe ana tabia nzuri tu maskini. Nikikosa mboga huwa namuomba ananigea kidogo nalia kiugali changu. Dah!
Naumia moyo. Nianzie mahakama ipi wakuu?
Na Wewe anza kuwa na Ratiba ya Kumpiga Mkeo ili uone raha aayoipata huyo Jirani yako. Na unaonekan ni Mtu mmbeya sana hapo Kitaani Kwenu.Yaani anapenda tu kumuonea pasi na sababu. Yaani akifika tu malangoni, mtaa wote unafugumiza harufu ya pombe bila kusahau maneno machafu machafu
Akiingia ndani anamkunyuga mateke na makofi ya kila rangi bila huruma. Inauma sana wakuu. Binti wa watu alikuwa na kasura kake soft soft, kwa sasa kuna alama ya kisu shavuni. Yaani nowdays anatembea kwa kuchechemea
Mkewe ana tabia nzuri tu maskini. Nikikosa mboga huwa namuomba ananigea kidogo nalia kiugali changu. Dah!
Naumia moyo. Nianzie mahakama ipi wakuu?
Na Wewe anza kuwa na Ratiba ya Kumpiga Mkeo ili uone raha aayoipata huyo Jirani yako. Na unaonekan ni Mtu mmbeya sana hapo Kitaani Kwenu.