Dannis JF-Expert Member Joined Jan 21, 2016 Posts 1,603 Reaction score 1,749 Jul 23, 2018 #21 Engineer P
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,694 Jul 23, 2018 #22 Sky Eclat said: Makosa yalianza kwa mama Peter kumtafutia mwana mchumba Click to expand... Peter huyu huyu wa mbezi kwa msuguri wa symbion au?
Sky Eclat said: Makosa yalianza kwa mama Peter kumtafutia mwana mchumba Click to expand... Peter huyu huyu wa mbezi kwa msuguri wa symbion au?
Da Lu JF-Expert Member Joined Jul 18, 2016 Posts 1,209 Reaction score 2,841 Jul 23, 2018 #23 Huo ndo ubaya wa kumtafutia mke mtt wako.
Nleterewa Nganengo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 5,007 Reaction score 11,318 Jul 23, 2018 #24 Sky Eclat said: Makosa yalianza kwa mama Peter kumtafutia mwana mchumba Click to expand... Na Peter anajaribu kulitatua tatizo kwa kuongeza makosa. Anyway nipatie namba za mke wa pita na mimi ni Genius pia, nakuhakikishia hautapita mwaka mtoto wa Peter ataanzisha kiwanda.
Sky Eclat said: Makosa yalianza kwa mama Peter kumtafutia mwana mchumba Click to expand... Na Peter anajaribu kulitatua tatizo kwa kuongeza makosa. Anyway nipatie namba za mke wa pita na mimi ni Genius pia, nakuhakikishia hautapita mwaka mtoto wa Peter ataanzisha kiwanda.
K Kogut JF-Expert Member Joined May 12, 2017 Posts 413 Reaction score 542 Jul 23, 2018 #25 Mama Peter alikosea kumtafutia mwanae mchumba. Lakini na li Peter nalo ndio lilikosea zaidi kwa kukubaliana na Mama yake, ingebidi likatae kata kata.
Mama Peter alikosea kumtafutia mwanae mchumba. Lakini na li Peter nalo ndio lilikosea zaidi kwa kukubaliana na Mama yake, ingebidi likatae kata kata.
manizzle JF-Expert Member Joined Apr 29, 2015 Posts 3,421 Reaction score 4,323 Jul 23, 2018 #26 Ukimchukia mke hata watoto unawaona sawa na mama yao ingawa hawana kosa
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,435 Jul 23, 2018 #27 Tuition kwa malipo ya Papuchi hata mm ningefundisha
Hunyu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,774 Reaction score 4,339 Jul 23, 2018 #28 Peter huyu huyu ninae mjua?
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,641 Reaction score 47,660 Jul 23, 2018 #29 Papuchi Papuchi Papuchi.