Jirani yangu anawamaliza jamani...

Mim nafkiri haupo serious, ngoja atembee na nduguyo ndio utajua polisi huwa wanapelekwa vipi
 
Acha kumuonea wivu jiran yako,acha aendelee na shoo zake.Kale kaugonjwa kana umuhimu wake kiuchumi,na kijamii.
 


Yaani na akili zako zote umeshindwa kumshitaki akamatwe? Umeshamkemea na hataki kukusikiliza ama kuwasikiliza watu ambao tayari walimpa ushauri, mnamwachia wa nini?
 
Una uhakika gani kama anatembea nao, maana Mambo haya yanafanyika sirini!

yah! mwanzoni nilisema jirani ni kweli yaani jirani yangu wa karibu sana yaani mpangaji wetu!
 
Acha wivu wewe domo zege utaishia kupiga kavu milupo ya buguruni...mwache akanyage vitu safiiii...nampongeza sana huyo jirani yako na kwa kweli anastahili nishani
 
ndio maana kuna tetesi ulaya ukigundulika umeathirika unachomwa sindano ya sumu after two years safari mtu kama huyo adhabu yake sahihi ni kuwahishwa safari yake maana ni muuaji anawaua wengine kimakusudi akiamini wataishi mda mrefu wengine uwezo wa kupambana na vijidudu kwenye miili yao ni mdogo mtangulizeni huyo kumstaki sio dawa maana hamna kidhibiti
 
Acha wivu wewe domo zege utaishia kupiga kavu milupo ya buguruni...mwache akanyage vitu safiiii...nampongeza sana huyo jirani yako na kwa kweli anastahili nishani

kesi ya nyani nimekuletea ngedere majibu yenu yanajulikana ni mwendo wa kuteteana!
 
anahaki ua kufanya mapenz kama binadamu wengine,,, atumie kondom
 
Chukueni hatua stahiki hapo ,nyie ni watu wazima jitafuteni wenye mawazo yanayofanana ,mtu mmoja hawezi kuwashinda kijiji kizima hapo!
 
we ungekua na huruma ungeenda zaman police,hatutak unafiki hapa na stor za kutunga,..angekua dadako unamwona anaingia kupewa vvu ungekaa kimya,nawee pia ni katili vlevle kama huyo jamaa tuu,mxiuuu
 
we ungekua na huruma ungeenda zaman police,hatutak unafiki hapa na stor za kutunga,..angekua dadako unamwona anaingia kupewa vvu ungekaa kimya,nawee pia ni katili vlevle kama huyo jamaa tuu,mxiuuu

sasa hapo wazo lako lipi,,,!!!?
 

Huna lolote wivu tu, umejuaje kama ameathrika afu anawamaliza we kwani unafanya kazi angaza? Muache kama vipi kaombe ushauri anafanikiwaje sio kulalamika pembeni alaaa!
 

sasa na wewe ulikuwa unakatamani hako kazuri ka darasa la sita? hata hivyo mwathirika hana haki ya kugegeda?
halafu wewe umejuaje kama mwenzio ni mwathirika au huwa mnachukua hizo arv kituo kimoja? maana inaonekana wengi hapo kitaa hawajui kama jamaa yupo kwenye gridi isipokuwa wewe!
 

Kuna watu wanahitaji kupigwa mawe hadi kufa.
 

mkuu nilisema jirani yangu wa karibu sana yaan ni mpangaji wetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…