Jirani yangu anawamaliza jamani...


Mkuu huyo ni kum-report polisi fasta.Sijui sheria inasemaje kuhusu kuhusu mtu anayeambukiza UKIMWI makusudi labda wajuzi wa sheria watujuze.
 

hapo mzazi wa kike ndo anamakosa! unafikiri wa kiume anaanzaje kufatilia hadi maswala ya pedi,,,!!!?
 
pande zip hizo mkuu ili tuwachunge vifaranga vyetu?
 

Mripoti,mtoto wa darasa la sita kosa kisheria
 
pande zip hizo mkuu ili tuwachunge vifaranga vyetu?

hapa hapa dar kwenye round about ya kuunganisha magomeni, mabibo, kariakoo na posta na ni uswazi kiaina vigodoro kila wikiend gari za huku zimepigwa nyekundu damu ya mzee na kunasifika kwa ugomvi kimtindo!
 
hapo mzazi wa kike ndo anamakosa! unafikiri wa kiume anaanzaje kufatilia hadi maswala ya pedi,,,!!!?

Utandawazi huu hakuna la mtoto wa kike everyone anatakiwa kuwa mstari wa mbele, mwanangu wa kike huwa ananiambia na nampa hela na ikatokea kipindi wakati naogopa ogopa yeye alikuwa haogopi tulinunua nyingi tukaziweka peupe ili wao na housegirl watumie. Maisha sio kulaumiana mzazi huyu au yule kwa utandawazi huu kila mtu anawajibika
 

nashukuru kwa upeo wako, chanzo cha tatizo ni sisi wenyewe harafu watoto wetu na na watu wa aina hiyo ni wa mwisho kulaumiwa. Kenya ukisimama kwenye dala dala faini kwa aliyesimama na mmiliki wa basi. Sasa nyie mnamlalamikia mmiliki wa basi aliyesimama mnaona hana hatia wakati sheria inasema abiria huruhusiwi kusimama.
 
Mkuu huyo ni kum-report polisi fasta.Sijui sheria inasemaje kuhusu kuhusu mtu anayeambukiza UKIMWI makusudi labda wajuzi wa sheria watujuze.

umenena vyema mkuu sijui sheria ina tamko gani juu ya hili,,,,!!!
 

nashukuru kwa upeo wako, chanzo cha tatizo ni sisi wenyewe harafu watoto wetu na na watu wa aina hiyo ni wa mwisho kulaumiwa. nchi zingine ukisimama kwenye dala dala faini kwa aliyesimama na mmiliki wa basi. Sasa nyie mnamlalamikia mmiliki wa basi aliyesimama mnaona hana hatia wakati sheria inasema abiria huruhusiwi kusimama.
 

We tema mate chini tena mara kadhaa. Unaweza ukayafanya yote hayo hapo juu kwa familia yako na bado mtoto wako au hata mkeo akaingia kwenye 18 watu. Tumwombe tu Mungu.
 
cyo katili iyo ndo njia ya kummaliza kabisa usichelewe mkuu ifanye leo ikiwezekana jioni hii.

sawa mkuu!
nitachanganya aina zote za condom c unajua ngoma ni noma!
 
Una uhakika gani kama anatembea nao, maana Mambo haya yanafanyika sirini!
 
Mweke chini uongee nae kiutu uzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…