wale wananchi wenye hasira kali huko kwenu hawapo? embu mpeleke polisi au tafuta hao watu aisee
What the fuuuuuuck???
ni applicable hata nyumbani
Mwache aendelee tu kuwatafuna, wanadamu si hawataki kusikiza mausia ya Muumba ya kwamba zinaa ni dhambi!!
Sasa kiwakutacho hao mabinti ndio mshahara wa dhambi ya uzinzi na uasherati wafanyayo na huyo bwana.
siyo wenye hasira kali bali wenye hasira njema

Mkuu una mtoto wa kike au bado ungejua uchungu wa mtoto usingemteeta mbakaji huyo.
Hapana bwana..wengine umeambiwa ni darasa la sita. Enzi za Mwalimu tulikuwa tunatia timu darasa la sita tukiwa na miaka 12.Enzi hizi za Jakaya who knows mtoto wa la la sita ana umri gani. In short huo sio wa kuwa responsible na hayo mafundisho ya Mungu.
Ha! Ha! Ha! Ha!
ila kuna watu huwa hawakomi hata umfanyaje!
c unajua unyevu unyevu unavyosumbua!
unafikiri atakubali kila siku atumie sabuni,,,!!!"
Ndio nasikia leo kuwa kuna hasira njema
Kila siku tunajifunza lakini sijui hasira njema ikoje?
Mkuu una mtoto wa kike au bado ungejua uchungu wa mtoto usingemteeta mbakaji huyo.
Sasa nyumbani ikiwa vice versa itakuwaje ,mwanamke atafanywaje
Be warned :nimekataa
siyo wenye hasira kali bali wenye hasira njema
polisi namlipotije!
Una uhakika na hali yake ya kiafya/ sero status!!!!??????
Kama una uhakika ondoa udhia kwa niaba ya wengi mkuu!!!!!!
Warning ya kwanza ni dumu la mafuta ya petrol na kiberiti mlangoni kwake!!!!!!! Be ware of tracking though...........
Akiendelea na ujinga huo weka kamba na kisu.............
Akizidi ganda la risasi ..................
Kama bado hakomi basi asiyefunzwa na mamaye........
Kwani dhambi ya zinaa hufanywa na mtu mmoja tu?
Kisheria huyo bwana anapaswa kufikishwa kwa pilato (sipo hapa kujadili hilo la sheria)
Kimaadili binti na wengineo waliotafunwa na hiyo njemba hawawezi kukwepa lawama...
Kumbuka kuwa majuto ni mjukuu, usiposikiza maonyo ya Mungu wako hivi unategemea hatma ya maisha yako iweje?