Jirani yangu anawamaliza jamani...

huyo ni muuaji ashtakiwe polisi mambo mengine ya kisheria yatafuata.
 

na hicho ndo ninachoogopa nisije nikaonekana siyo ila kiukweli siyo fresh kabisa!
 
Ukitaka kunywa sumu ama kujinyonga thubutu kumuuliza mkeo/mchumba wako kuwa nasikia jirani kamaliza kulamba almost wanawake wa mtaa mzima usikie majibu yake, "....nyooo, bado tu Mwantumu, ye ndo anajifanya ni mgumu kuliko wanawake wote wa mtaa huu"....
 
Mkateni nanihino yake kabla hajalamba wake zenu. maana huo mtaaa naona una mambo...
 
kumbe nyie ndo mnaendekeza... mnakodi watu wanamkamata wanafunga kidudu chake na kamba allafu sehemu ya kamba wanafunga kwenye tofali mnamwambia avute tofali kwa kidudud chake ni adhabu tosha hiyo
ha!ha!haaaa!yeuuwi.
 
Kawahi araka kabla kituo akijafungwa toataharifa.kama ushaindi unao
 
ndiyo hivyo siidhani kama ataendelea natabia ya ubakaji wa hiyari
ila kufanya hivyo inabidi wapate kibali either polisi au mahakamani,ninachojaribu kusema hapa ni lazima pawe na ushahidi so nionavyo afunguliwe kesi polisi then taratibu za kisheria zitafuatwa maana wakisema wamzonge na kumsema au kumwitisha kikao anaweza akaamuaakahama mtaa ambao watu hawamjui kabisa akaendelea kuua watu
 

sijakusoma bado mkuu!!!
 
Hiyo adhabu nimeipenda sana
kumbe nyie ndo mnaendekeza... mnakodi watu wanamkamata wanafunga kidudu chake na kamba allafu sehemu ya kamba wanafunga kwenye tofali mnamwambia avute tofali kwa kidudud chake ni adhabu tosha hiyo
 

huyu amna haja ya polisi ni aunganishwe na wananchi wenye hasira kali
 
usimkate bwana kibaki hapo akiona demu anakumbuka maumivu inalala yenyewe

Ha! Ha! Ha! Ha!
ila kuna watu huwa hawakomi hata umfanyaje!
c unajua unyevu unyevu unavyosumbua!
unafikiri atakubali kila siku atumie sabuni,,,!!!"
 

What the fuuuuuuck???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…