Jirani yangu anawamaliza jamani...

The End..

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
4,362
Reaction score
3,846
Habari MMU!
Mwenzenu nakerwa sana na tabia ya jirani yangu! kwa kuwa yeye ameathirika basi anataka mtaani na nje ya mtaa wawe kama yeye (mwehu sana!)
nimemchana laivu kuhusu tabia yake mbaya (ashindwe kabisa) ya kutembea na mabinti tofauti tena wazuri hadi mimi nawatamani (hisia tu jamani) kila siku ila hanielewi.

Sasa juzi katembea na katoto cha watu darasa la sita tena ni kazuri sana hofu katika afya yake!
Nimfanyaje huyu mtu atawamaliza warembo wetu...
 
Mtoto wa darasa la sita?
Kama unaushahidi toa ripoti kwa wanaofuatilia haki za watoto watamaliza hilo tatizo.
 


Una uhakika na hali yake ya kiafya/ sero status!!!!??????
Kama una uhakika ondoa udhia kwa niaba ya wengi mkuu!!!!!!

Warning ya kwanza ni dumu la mafuta ya petrol na kiberiti mlangoni kwake!!!!!!! Be ware of tracking though...........
Akiendelea na ujinga huo weka kamba na kisu.............
Akizidi ganda la risasi ..................


Kama bado hakomi basi asiyefunzwa na mamaye........
 
Anajua kuhonga huyo..... Anahonga na VVU
 
wale wananchi wenye hasira kali huko kwenu hawapo? embu mpeleke polisi au tafuta hao watu aisee
 


Darasa la sita!! Hujui kama hiyo ni ubakaji(most likely under 18). Unaishi wapi huko ambako hamna vituo vya polisi. We vipi bana unakuja kuripoti crime JF??
 

Du huyo si wakupiga mvua ama ile sheria ya mtu kuambukiza watu maksudi haijapitishwa bado.Lakini pia watu kama hao wanahitaji kanselingi ya nguvu sana
 

mkuu umetumia lugha ya mafumbo hebu fafanua hata kidogo!
 

hahahahahah onyo hilo limetulia sanaaaa!
 
Tumia watu wazima walioko eneo lenu Kama mjumbe na ili kumuonya na ikiwezekana kumchukulia hatua Kali ila Uwe na uhakika na taarifa yako na utafiti uliofanya.lakini pia mabinti wa siku hizi japo Sio wote wanapenda Sana bad boy kuliko wastarabu so unaweza jaribu kuwatetea wakakuona huna maana that why wakati mwingine hususani kwa dar bora kukaa kimya.
 
Darasa la sita!! Hujui kama hiyo ni ubakaji(most likely under 18). Unaishi wapi huko ambako hamna vituo vya polisi. We vipi bana unakuja kuripoti crime JF??

mkuu kinachonivunja nguvu ni hawa vijana wenzangu wanasema mwache awamalize sababu wasichana wenyewe wanaringa!!!"
 
Utatuzi wa tatizo alishautoa rais wa Tanzania Dr. Dr. Dr. Dr. Ph.d Jakaya Mrisho Kikwete, Kiherehere chao. Sasa kwa mfano nimuulize mtoa mada ni wangapi kama huyu jamaa ambao hatuwajui????? Hapa kengere lifungwe kwa mabinti lakini hawa jamaa mtapoteza muda kwa sababu mabinti ndio wanaowatafuta watu kama hawa.
 
sasa hao wasichana wao hawajui kama ameathirika?
 
kumbe nyie ndo mnaendekeza... mnakodi watu wanamkamata wanafunga kidudu chake na kamba allafu sehemu ya kamba wanafunga kwenye tofali mnamwambia avute tofali kwa kidudud chake ni adhabu tosha hiyo

Ha! Ha! Ha! Ha!
kukodi watu si mpunga mrefu huo!
ila hiyo adhabu "WEKA MBALI NA WATOTO!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…