Nicho North11
Member
- Mar 28, 2019
- 29
- 46
tuanzie hapo kapo form ngap..???
mwambie mwana pepo la kumpoteza kimaisha linamtafuta aache upesi hio tabia maana...
Pilipili usiyoila inakuwashia nini mkuu? Muache na maisha yake maana hata likitokea la kutokea atakaeingia matatizoni ni yeye na si wewe.
Ukimwambia aache huyo mwanafunzi na kesho akakamatwa hudhani wewe ndie utakaekuwa mshukiwa wa kwanza kuwa umemchoma?
Kila mtu na starehe zake as long as hafanyi mambo yake chumbani kwako, hamfanyii ndugu yako na wala habaki maana ni dhahiri huyo binti anakuja kwa ridhaa yake basi na wewe ishi maisha yako.
Kunogesha chezo wewe anza kuingiza walimu kabisa ili mfungue tuition humo ndani.
ushauri wa kibabe.Pilipili usiyoila inakuwashia nini mkuu? Muache na maisha yake maana hata likitokea la kutokea atakaeingia matatizoni ni yeye na si wewe.
Ukimwambia aache huyo mwanafunzi na kesho akakamatwa hudhani wewe ndie utakaekuwa mshukiwa wa kwanza kuwa umemchoma?
Kila mtu na starehe zake as long as hafanyi mambo yake chumbani kwako, hamfanyii ndugu yako na wala habaki maana ni dhahiri huyo binti anakuja kwa ridhaa yake basi na wewe ishi maisha yako.
Kunogesha chezo wewe anza kuingiza walimu kabisa ili mfungue tuition humo ndani.
Huyo jamaa yupo hatarini usidhani kwa sababu hahusiki basi atakuwa hana hatia ila naye anashiriki kwenye huo uovu kwa kukaa kimya na anajua kinachofanyika ni kosa kisheria.Pilipili usiyoila inakuwashia nini mkuu? Muache na maisha yake maana hata likitokea la kutokea atakaeingia matatizoni ni yeye na si wewe.