Mmh watu waswahili sanaa aiseeKatika hali ambayo sikutaraji kbsaa ni hiki kitendo cha kunyimwa maji ya kujengea
Nimemaliza karibia material karibia zote za kujengea nyumbani kwake na bila wasi wasi, sas ilipowadia kipindi cha kuseti msingi jmaaa akanijeuka mazima wakati nimemuambia nitalipia bill yote itakayo jitokezaa kwa muda wa week tu jamaaaa amegoma mazima anadai watoto wamegoma ktk hili jambo
Sasa najiuliza kutakuwa na u Jirani mwema kwa baadae ktk hali kama hii kwel
Chuki na wivu imetawla naona
Ndo kawaida yake...Naona jirani kakuzingua balaa mpaka unaandika vitu ambavyo havieleweki. Pole!
Hapo tayari upo shule unapata darasa la namna ya kuishi maisha ya mtaani.Katika hali ambayo sikutaraji kbsaa ni hiki kitendo cha kunyimwa maji ya kujengea
Nimemaliza karibia material karibia zote za kujengea nyumbani kwake na bila wasi wasi, sas ilipowadia kipindi cha kuseti msingi jmaaa akanijeuka mazima wakati nimemuambia nitalipia bill yote itakayo jitokezaa kwa muda wa week tu jamaaaa amegoma mazima anadai watoto wamegoma ktk hili jambo
Sasa najiuliza kutakuwa na u Jirani mwema kwa baadae ktk hali kama hii kwel
Chuki na wivu imetawla naona
Maisha huchagui jiran lakin ni vema kujua asili za watu itakusaidiaKatika hali ambayo sikutaraji kbsaa ni hiki kitendo cha kunyimwa maji ya kujengea
Nimemaliza karibia material karibia zote za kujengea nyumbani kwake na bila wasi wasi, sas ilipowadia kipindi cha kuseti msingi jmaaa akanijeuka mazima wakati nimemuambia nitalipia bill yote itakayo jitokezaa kwa muda wa week tu jamaaaa amegoma mazima anadai watoto wamegoma ktk hili jambo
Sasa najiuliza kutakuwa na u Jirani mwema kwa baadae ktk hali kama hii kwel
Chuki na wivu imetawla naona
Utakopeshwa Huduma Ya Kuingiza Maji Halafu Unalipa TaratibuBajeti hyo sina mkuu