JIRANI TAM TAMUU

Sijui wanatuonaje story kama inauzwa toka mwanzo useme itaendelea WhatsApp

Unakuja kusema mwishoni mfyuuuuuuu sisomi tena story zake huyu nilionaga mmu story yake imeisha nikajua huwa anazimaliza

Hiyo ya huko MMU ni nzuri!? Ametofautisha 'l' na 'r'..!?
 
Mwandishi mwenyew atuchanganyia madawa mara nasra mara nasira mara samia tabu tu akwenderee uko anacheza na buku za watu chefuu
 
Hakuna shekh wa kufungisha ndoa ya aina kama hii uliyoandika wewe jaribu kutunga vitu vilivyo karibu na ukweli, ukioa sehemu huruhusiwi kuoa nduguye tena wa damu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…