jirani nae

jirani nae

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
491
Reaction score
180
dada mmoja alimwambia jirani yake leo siku ya tatu jicho langu linacheza maana yake hivi huwa ni nini?
jirani akamjibu hata mimi sijui ila siku yakicheza makalio yako niambie
 
Hivi jaman nina sweetie wangu anadai ananipenda ila cha ajabu hapendi kusema kama ana mpenz kila anapotongozwa na midume,na juzi nilimkuta anatongozwa nikajitetea mi ndo mpenz wake nilishangaa kwan alinikana bila woga.leo anadai nimsamehe eti siku hiyo hakuwa vizur ndo maana aliropoka vile,wajamen mi nifanyaje?
 
Ushafanywa Pimbi, huna chako.
next time anzisha sredi yako independently katika jukwaa linalihusika.
 
Hivi jaman nina sweetie wangu anadai ananipenda ila cha ajabu hapendi kusema kama ana mpenz kila anapotongozwa na midume,na juzi nilimkuta anatongozwa nikajitetea mi ndo mpenz wake nilishangaa kwan alinikana bila woga.leo anadai nimsamehe eti siku hiyo hakuwa vizur ndo maana aliropoka vile,wajamen mi nifanyaje?

wewe lazima nikuombee BAN!
 
Back
Top Bottom