Jirani ananipa shidaa (2016)

Jirani ananipa shidaa (2016)

Mkuu pole sana. Ndo walivo hao
umenikumbusha jamaa mmoja anaitwa BABITO ( certified Wahasibu wanamjua)..alikua anapendelea kusema hako kamsemo..ndo walivyyoooo
 
Wakuu salamu na heri ya mwaka mpya (2016)
Kiukweli mwaka nimeuanza vzr nimetoka kufurahia na rafiki zangu ni burudaani. Ila sasa nimerud kwangu huku nikiwa bwax kdogo kama kawaida raha ya pombe urudi ulale nayo..ila tabu anayonipa mpangaji mwenzangu ni ngumu sana. Wakat natoka aliniuliza unaenda wapi m nikamjibu kiwanja kuukaribisha mwaka mpya akacheka na kutikisa kichwa yan kama m napotea vle au nachofanya sio sahh na khanga yake 1.
Mi nikasepa sasa narud nakuta miguno saut za ajabu toka chumbani kwake ad nashindwa kulala sahv sa10 tabu nayopata hapa adi tungi imekata. Najiuliza mm au yy nan kaukaribishwa mwaka kiajabu?
Pia nimwambie asubuhi kuhusu hili swala lilivyoniumiza au niache tu itanisababishia nikose mzigo maana nahisi kama namtaka pia.
mpe sura hii asubuhi....
 
Attachments

  • 10406816_1458730650868225_6246097989011637934_n.jpg
    10406816_1458730650868225_6246097989011637934_n.jpg
    22.2 KB · Views: 24
Nadhani umeshaamka na mmeshaonana. Hebu tupe mrejesho!
 
Pole mleta mada, inaonekana unakaa uswazi sana ndiko mambo hayo yamebaki, maana hizo sauti aisee huwezi kulala.

Usikute alikusikia wakati unaingia na alikufanyia makusudi tu na huenda hakuwa na mwaname
 
Wewe usimwambie wala nin

Mpe namba zangu tu nikusaidie
 
Mrejesho mkuu...
Nadhani umeshaamka na mmeshaonana. Hebu tupe mrejesho!
Nimeonana nae leo mishale ya sa2 akanisalimia vp neighbor za mwaka mpya..nikamjibu safi 2 vp ww mrembo. yy akasema anashukuru ni bomba na ameingia kwa kishindo sasa sijui kishindo gani labda moto aliokua akipelekewa na basha wake mzee..
watoto wa mjini bwana,
 
usijali leo itakuwa zamu yako...
 
Pole mleta mada, inaonekana unakaa uswazi sana ndiko mambo hayo yamebaki, maana hizo sauti aisee huwezi kulala.

Usikute alikusikia wakati unaingia na alikufanyia makusudi tu na huenda hakuwa na mwaname
Sikai uswazi" mkuu..
alikua na mwanamme kipande cha mtu nahisi kinafamilia maana asubuh nje nikiwa na hangover zng nilimsikia akisalimia watt wake kwa phone na kuwatakia heri ya mwaka mpya then akaingia ndani kuendelea na shuguli adi leo ndio kachimba" najitahdi nijue ratiba zke'
 
Last edited:
Wakuu salamu na heri ya mwaka mpya (2016)
Kiukweli mwaka nimeuanza vzr nimetoka kufurahia na rafiki zangu ni burudaani. Ila sasa nimerud kwangu huku nikiwa bwax kdogo kama kawaida raha ya pombe urudi ulale nayo..ila tabu anayonipa mpangaji mwenzangu ni ngumu sana. Wakat natoka aliniuliza unaenda wapi m nikamjibu kiwanja kuukaribisha mwaka mpya akacheka na kutikisa kichwa yan kama m napotea vle au nachofanya sio sahh na khanga yake 1.
Mi nikasepa sasa narud nakuta miguno saut za ajabu toka chumbani kwake ad nashindwa kulala sahv sa10 tabu nayopata hapa adi tungi imekata. Najiuliza mm au yy nan kaukaribishwa mwaka kiajabu?
Pia nimwambie asubuhi kuhusu hili swala lilivyoniumiza au niache tu itanisababishia nikose mzigo maana nahisi kama namtaka pia.

Mkuu @BansenBurner , dont waste your words on people who deserve your silence. Sometimes the most powerful thing you can say is nothing at all.
 
Back
Top Bottom