Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Yeye amekupa hitaji lake ambalo ni hela ya fundi tu, mambo ya kutembea naye wala hajakwambia, we mtumie hiyo hela na usimgonge, utakuwa huna deni.Hellow africa
Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza unaenda wapi nikamwambia basi akasema anaomba ni on mimi msimamo nilio jiweke siwez tembea na watu wa mtaani upumbavu wangu nafanyia uko mbali kabisa
Ooh ...boy!Nini mbaya na wewe?Mambo hayo huwa hayaanikwi hadharani kama hivyo.Ungemtafuta mtu akushauri.Hellow africa
Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza unaenda wapi nikamwambia basi akasema anaomba ni mbebee nyanya za 500 na vitunguu vya jero pamoja na vocha akatoa pesa yake nikampa changr yake
Uthibitosho text izo bad anafosi niende jion mimi msimamo nilio jiweke siwez tembea na watu wa mtaani upumbavu wangu nafanyia uko mbali kabisa
Itakuwa ase"Olivyo" ndo kiswahili gani?
Uyo jirani yako Ni MJALUO?[emoji28]
Taarifa hii Sikitu anayokweli?Hellow africa
Leo morng nilijihimia sokoni kuna wageni wanakuja nyumbani na nipo alone kwahiyo nikadamka sokon wakati naenda njiani nikakutana na jirani yangu tukasalimia vizuri tu akauuliza unaenda wapi nikamwambia basi akasema anaomba ni mbebee nyanya za 500 na vitunguu vya jero pamoja na vocha akatoa pesa yake nikampa changr yake
jion mimi msimamo nilio jiweke siwez tembea na watu wa mtaani upumbavu wangu nafanyia uko mbali kabisa