Daaah huyu waziri kweli ni mbunifu, ila badala ya kupongezwa na kuwa mfano wa kuigwa na wenzake katumbuliwa. Hii nchi bana ni noma. Ni lini mtawajali wabunifu kama hawa ili kuviendeleza vipaji vyao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.