nipe mfano wa mualifu aliemulikwa na huo mwenge.unapowaka humulika wahalifu,waovu na kuangaza bara zima la afrika kuwaona maadui. salam za mwenge ni ujumbe wa kiserikali kwa wananchi. kutambua muitikio wa watu kwa serikali, kuweka mawe ya msingi kwenye majengo ya serikali na kufungua mengine. nk
Mi mzima wa afya aisee mkeo miss chagga hajambo?
utakuwa hujawahi kuhudhuria mbio za mwenge, byenipe mfano wa mualifu aliemulikwa na huo mwenge.
Kwanini kuna ziara za rais,waziri mkui,mawaziri na manaibu waziri kama mwenge unaweza kufikisha ujumbe wa serikali kwa wananchi na kuweka mawe ya msingi??
sasa mimi na njaa zako za nini sasa aisee.nipo na lijamaa linahelamiss chagga kashanitosa eti nimeishiwa hana maana yule
Ukiwa na pesa tuu mbio anakuja kwako ukiishiwa mbio humuoni tena
Mtoto anapenda pesa anafaa kutumbuliwa kama jipu kuu
1.Kuhamasisha jamii juu ya kauli mbiu mbalimbali za serikali.
2.Hutumika kufungua miradi.
3.Ni ishara ya uhuru,umoja mshikamano wa taifa letu.
Asa miss chagga umekula pesa zangu ukamaliza ukanitoroka sio afya kabisa haposasa mimi na njaa zako za nini sasa aisee.nipo na lijamaa linahela
tafuta nyingine nitorokee kwako tenaAsa miss chagga umekula pesa zangu ukamaliza ukanitoroka sio afya kabisa hapo
jibu swali mkuu.utakuwa hujawahi kuhudhuria mbio za mwenge, bye
ngoja nifanye mchakato huo aise maana wewe ni mtamu balaatafuta nyingine nitorokee kwako tena
soma post zote 'kwa kuelewa' sio kukariri, majibu yameshatolewa !!jibu swali mkuu.
Kweli kabisa, hata mimi nimeshasikia hivyo, inasemekana mwenge huo ni miungu ambayo lengo lake ni kuwafanya watu kila unapopita wawe wajinga wajinga tu. Umejaa imani za ushirikina mwingi sana ndio maana hatusongi mbele.Kwani hamkusoma ile thread ya chanzo cha mwenge? ni mambo ya kishirikina inasemekana
fanya fanya mchakatongoja nifanye mchakato huo aise maana wewe ni mtamu balaa
1.Kuhamasisha jamii juu ya kauli mbiu mbalimbali za serikali.
2.Hutumika kufungua miradi.
3.Ni ishara ya uhuru,umoja mshikamano wa taifa letu.