Jipatie Used UPS aina ya APC kwa bei nafuu

Jipatie Used UPS aina ya APC kwa bei nafuu

HPC 1

Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
83
Reaction score
25
Nauza UPS Aina ya APC zilizotumika zipo 5 tu, unaweza kutumia ups hizi ili kuunda INVERTERS au AMPLIFIERS zote zina transfomer kubwa na nzuri au kwa matumizi ya kawaida kwenye kompyuta n.k Angalizo UPS hizi sio mpya ni used.
 
Zilete ofisini kwangu sokoni general broker.
 
Ofisini kwako ni wapi @ A.Abdon..
 
UPS aina ya APC
 

Attachments

  • 1401878291123.jpg
    1401878291123.jpg
    47.5 KB · Views: 74
Back
Top Bottom