Mr halfprice
Member
- May 14, 2020
- 25
- 11
- Thread starter
- #21
Sawa boss sorry typing error ni 65,000
Mr.Watches
Sawa boss sorry typing error ni 65,000
Zikija nicheki mkuu yangu ilizinguaga
Sawa boss nitext WhatsApp ili nipate namba yako 0658749848Zikija nicheki mkuu yangu ilizinguaga
Casio zake huyo ni zile Copy. zinazouzwa kwenye Maduka ya Nguo za Mdosho.Poa jamaa, ila nahamisha mapenzi nataka CASIO yenye data bank maana umesema zipo, ila hujanipa bei mkuu?
Nakutext soon hapa natumia PCSawa boss nitext WhatsApp ili nipate namba yako 0658749848
Mr.Watches
Usingeweka picha za google,weka picha halisi ya saa ulizonazoGOLDEN HOUR TSH 69,900
Water Resistant,Analog and Digital, Original Brand,1 year Warranty, Free Delivery in Daresalaam na mikoani tunatuma kwa gharama Nafuu sana.
Wasiliana nasi WhatsApp 0658749848
Mr.Watches
View attachment 1450803View attachment 1450804
Kila mtu anachukua bidhaa kulingana na uwezo wake pia Casio ninazo za level zote sio hizoo tu boss wanguCasio zake huyo ni zile Copy. zinazouzwa kwenye Maduka ya Nguo za Mdosho.
Kama unahitaji picha ya bidhaa halisi Basi ni vyema ukaja inbox boss wangu pia India Shaka picha iliyokuwepo hapo ndio sawa na picha halisi sema tuu hapo ni Camera boss pia unavyoona hapo ndivyo zilivyo siwezi onesha picha iko hivi na uhalisia uko tofauti bossUsingeweka picha za google,weka picha halisi ya saa ulizonazo
hiyo si justification ya wewe kuwauzia watu watu vitu feki. ni bora uuze saa ya bei rahizi lakini original. nyinyi ndio mnauza Rolex Shilingi laki moja alafu mnawaambia wateja ni Original.Kila mtu anachukua bidhaa kulingana na uwezo wake pia Casio ninazo za level zote sio hizoo tu boss wangu
Mr.Watches
Hahaha hapana boss ndio maana nikakuambia zipo za level tofaut tofaut na mteja ajapo kwangu namueleza ukweli yaan kuwa hii ipo hivi ni Bei fulan na hii ni Bei fulan tofaut ni ubora so lazima niwaeleze ukweli wateja wangu maana hii ni biashara boss wangu na mfanya biashara mzuri lazima awe mkweli ili uwaminike kwa wateja na upate wateja wakudumuhiyo si justification ya wewe kuwauzia watu watu vitu feki. ni bora uuze saa ya bei rahizi lakini original. nyinyi ndio mnauza Rolex Shilingi laki moja alafu mnawaambia wateja ni Original.
Ohoo sawa sawa boss umeuliza vizurii sana,ni kwamba kwa Sasa hatuna Duka boss Nina store tuu ambayo ipo nyumbani kwangu hvyo mteja akihitaji bidhaa yoyote Basi anafanyiwa delivery mpaka alipo kwa Dar pekee pia Kama mteja akiona Kuna saa or bidhaa aliyoipenda na akataka kuona picha uhalisia kabisa anipigiwa picha na anatumiwa akiridhika ndipo anaagiza,pia wateja wengi Sana humu wameshanunua saa kutoka kwangu na wameona ubora wake boss,so In short ni kwamba nafanyia biashara online.Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia WhatsApp 0658749848Mbona hutupi physical au geographical location ya duka lako ili tuje kuchagua? Wengine waoga wa kununua kwa picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa boss usijaliNitakutumia Aina Saa Casio Watch Kama Unayo
Are you serious???Mikanda yake ni stainless steel,hazipahukii, water resistant, warranty ni mwaka 1, Free Delivery in Daresalaam na mikoani tunatuma kwa gharama Nafuu sana.
Call/WhatsApp ...0658749848View attachment 1451602View attachment 1451603
Mr.Watches
Yaah ni kweli boss Ila Naviforce hazielewekagi Bei Sana huwa zinapanda na kushuka Ila pia zipo za level 2 Kuna used ambazo zinatoka China ingawa zinafungashwa Kama mpya ndio hizoo unakuta 35 wengine 40 boss pia zipo mpya kabisa so ni kila mtu anapochukua mzigo wake bossHahahahah hii saa naikubali sana ila toka nimeijua haina bei iliosimama, wengine wanauza 45k!
Wengine 55k!
Mara 65k sasa napata wasiwasi hata na ubora wake.
Yes boss