Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

Jipatie saa za aina mbalimbali kwa bei nafuu

Ninayo Naviforce yangu kama hiyo pichani,ila mikanda imezingua.
Utaniuzia kiasi gani hiyo mikanda.?
 
Hahahahah hii saa naikubali sana ila toka nimeijua haina bei iliosimama, wengine wanauza 45k!
Wengine 55k!

Mara 65k sasa napata wasiwasi hata na ubora wake.
Bei yake 42,110

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Ninayo Navyforce yangu kama hiyo pichani,ila mikanda imezingua.
Utaniuzia kiasi gani hiyo mikanda.?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
 
Shida bei zenu hazieleweki unakuta saa aina moja duka moja 65k lingine 55k lingine tena 45k.Wizi mtupu!! Kuweni na bei inayokaribiana manatuvuruga hadi kuhisi kuwa labda ni saa feki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli boss Ila inategemea na kila mtu sehemu anapochukulia mzigo wake boss wangu,au wengine wanaweza kuchukua saa kutoka kwetu kwa bei ya jumla naye anakuja kuuza na lazima aongeze faida kidogo ili naye apate chochote kitu so wewe angalia panapokufaa kuwa mteja wa kudumu na kwa Wanao elewa nadhani wanaelewa vizuri hii situation na Bei .

Mr.Watches
 
Back
Top Bottom