PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,264
Hizo ungetengenezea na viti vyake hata vitatu kwa meza mojaNipo DSM 0658327429,unaletewa popote dsm,mkoani unatumiwa kwa basi.karibuni
View attachment 466338View attachment 466340View attachment 466341View attachment 466342
Hapana mkuuMkuu swali langu umelikalia kimyaa...unaweza kutengeneza chess board Kwa size hiyo hiyo ya meza.?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Rudi kule,tushameza kama ulivyoagiza
Mkuu unatengeneza mwenyewe ama unanunua na kuuza??? Agharabu mtu anayetengeneza meza kama zako hutengeneza chess board pia.Hapana mkuu
Inawezekana ila sifanyi kwa sababu wateja wake mmoja mmoja sana.Mkuu unatengeneza mwenyewe ama unanunua na kuuza??? Agharabu mtu anayetengeneza meza kama zako hutengeneza chess board pia.
picha mbona zipo pale juuNilikuwa na utafuta huu uzi sikuupataga'hebu weka picha ulixonazo!
Dodoma unafikishiaje viti viwili ...hiyo miguu yake nayo ni mninga!picha mbona zipo pale juu
Zinapatikana wapi ?Nipo DSM 0658327429,unaletewa popote dsm,mkoani unatumiwa kwa basi.karibuni
View attachment 466338View attachment 466340View attachment 466341View attachment 466342
Nipo tabata mkuuZinapatikana wapi ?
Ndiyo mkuu,lkn hivi sio viti Bali ni Meza ndogo,Dodoma ninatuma kwa basi mkuu,uaminifu 100%Dodoma unafikishiaje viti viwili ...hiyo miguu yake nayo ni mninga!
Afu Mkuu uwe unapitia uzi wako !kuona waliotembelea!
Uweke na picha pia kiongoziMzigo mpya upo,Meza 5 (tano) zipo sokoni,toa oda yako,namba yangu 0712705389 nipo dsm,mkoani tunatuma kwa basi,asanteni
Picha hazina tofauti na hizo pale juu mkuuUweke na picha pia kiongozi
Ni imara sana,mm ninazo natumia mwaka wa NNE sasa,ziko vizuriNaweza kumlaza mtu hapo i mean ni imara?.