Wadau niko mkoani Dodoma, mwenye uhitaji wa maeneo ambayo bado hayajapimwa, nimakubwa kuanzia ekari moja, kwa pesa taslim 1M. Pia kiwanja kikubwa cha 70/46 bei sh 8 M. Maeneo tote hayajapimwa. Mwenye nia ya kuhitaji tuwasiliane kwa 0658609050, niko Dodoma Mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app