Innocent Henry
Member
- Oct 10, 2017
- 62
- 10
- Thread starter
- #81
Samahan, kuna mteja nilikuwa naongea nae, nipigie tena mkuu.Mbona line yako inaonyesha busy ukipigiwa mkuu. Nimejaribu kukupigia mara 2.
Samahan, kuna mteja nilikuwa naongea nae, nipigie tena mkuu.Mbona line yako inaonyesha busy ukipigiwa mkuu. Nimejaribu kukupigia mara 2.
Jamaa anajifanya kauzu hadi bombardier haijui mhii majanga .tumchunguze uraia kwanzaAisee upo serious una hiyo bidhaa,
Yes zinabadilishikaHivi hizi Hard disk si zinabadilishika au?. 80 Gb ni ndogo sana
Mm nataka zile za dell ndogo ndogo ni being gn sitak hiz za kuzunguka zunguka screen mm nataka za kufunua na kufunika mkuu ni bei gn?Ni min bytspeed
SIFA ZAKE;
- HARD DISK 80GB
- RAM 2GB
-PROCESSOR 1.60GHZ
-NI TOUCH SCREEN
-NI SCREEN ROTATE
-INA WEB CAMERA
-INAKAA NA CHAJI MASAA 8
BEI Tsh 200,000/= tu.
anayehitaji anichek kwa 0623554361
ZIPO NYINGI.
POPOTE ULIPO NDANI YA TANZANIA TUTAKUHUDUMIA
View attachment 614429View attachment 614430View attachment 614431View attachment 614432