Dalali Dar es Salaam
Member
- Apr 2, 2019
- 16
- 17
- Thread starter
- #21
Tupe kifungu cha sheria kinachokataza au kuweka sharti hilo ku-support hoja yako.Sheria za Tanzania, serikali ya mtaa haitambuliki kutowa document yoyote ya mauziano ya ardhi, wao jukumu lai ni kuthibitisha tu kama muuzaji ndiye mmiliki na kuverify mipaka. Asikudanganye mtu katika hili hakuna mahakama yoyote ya Tanzania inayoweza kupokea document ya serikali ya mtaa kuthibitisha umiliki wako hakuna.
.
.
Watanzania wengi huku mikoani tunamiliki Ardhi kwa mifumo hii hata serikali kuu inalijua hilo na ndo maana inakuja kuturasimisha ili kuondoa migogoro ya Ardhi
GEZUZ.