Jipatie kiwanja kwa bei ya laki 8

Jipatie kiwanja kwa bei ya laki 8

Joined
Apr 2, 2019
Posts
16
Reaction score
17
VIWANJA VINAUZWA KIBAHA(KWA MFIPA) 20×20sqm BEI NI TSH.800,000/= TU.
~VIWANJA NI VIZURI SANA KWA MAKAZI
~HUDUMA ZOTE ZIPO IKIWA NI PAMOJA NA BARABARA.
~VIPO KM 2.5 TOKA BARABARA KUU YA DAR-MORO.

NB; KESHO NITAKUWEPO NA WATEJA SITE,
MTEJA MPYA UNAKARIBISHWA KUJA KUONA MAZINGIRA NA VIWANJA HUSIKA KABLA YA KUNUNUA.

Miliki Ardhi yako sasa,biashara chapchap

Kwa biashara tu na si maneno tupu,
PIGA:0654269099

Karibuni Kibaha(Mfipa).

GEZUZ.
 
Weka picha
 
20x20 kwa 800,000 TSHs anamaanisha 1sqm ni TSHs 2,000! HAPA KUNA KITU!

Kuna mpaka vya 60,000/= we kama.wataka chaa 20m vipo pia, ingawa hata vya 20m vilianza na pori mtu kufyeka naa.kumiliki bure...usijidai unashangaa ujinga hapa.
 
VIWANJA VINAUZWA KIBAHA(KWA MFIPA) 20×20sqm BEI NI TSH.800,000/= TU.
~VIWANJA NI VIZURI SANA KWA MAKAZI
~HUDUMA ZOTE ZIPO IKIWA NI PAMOJA NA BARABARA.
~VIPO KM 2.5 TOKA BARABARA KUU YA DAR-MORO.

NB; KESHO NITAKUWEPO NA WATEJA SITE,
MTEJA MPYA UNAKARIBISHWA KUJA KUONA MAZINGIRA NA VIWANJA HUSIKA KABLA YA KUNUNUA.

Miliki Ardhi yako sasa,biashara chapchap

Kwa biashara tu na si maneno tupu,
PIGA:0654269099

Karibuni Kibaha(Mfipa).

GEZUZ.
Hivyo viwanja vina document gani? Je ramani imeshapitishwa na halmashauri ya Kibaha?
 
Ngoja yajibiwe baadhi ya maswali muhimu ndipo ntachungulia tena baadae
 
Hivyo viwanja vina document gani? Je ramani imeshapitishwa na halmashauri ya Kibaha?
Ikumbukwe urasilimishaji Ardhi haujafanyika sehemu kubwa ya nchi hivyo Ardhi kubwa inayomilikiwa na watu ni kwa idhini ya Halmashauri kupitia serikali za mitaa(nirekebishwe ikibidi)
.
.
Documents zilizopo ni za serikali ya mtaa wa Galagaza.
HATA HIVYO VYA BEI HIYO VIMEISHA VIMEBAKI VYA 2M.

GEZUZ.
 
Kuna mpaka vya 60,000/= we kama.wataka chaa 20m vipo pia, ingawa hata vya 20m vilianza na pori mtu kufyeka naa.kumiliki bure...usijidai unashangaa ujinga hapa.
Kuna watu wanajifanya hawajui kuwa thamani ya Ardhi hupanda na kushuka kutegemeana na mazingira na hali ya wakati husika

GEZUZ.
 
Ikumbukwe urasilimishaji Ardhi haujafanyika sehemu kubwa ya nchi hivyo Ardhi kubwa inayomilikiwa na watu ni kwa idhini ya Halmashauri kupitia serikali za mitaa(nirekebishwe ikibidi)
.
.
Documents zilizopo ni za serikali ya mtaa wa Galagaza.
HATA HIVYO VYA BEI HIYO VIMEISHA VIMEBAKI VYA 2M.

GEZUZ.
Kisheria serikali ya mtaa haitambuliki kwenye mauziano ya ardhi.
 
Unashangaa Ardhi kuuzwa laki 8? Kweli wabongo hamna jema

GEZUZ.
Nimeshangaa sana mkuu wala siyo siri maana sijawahi kusikia hasahasa eneo ambalo ni 2km away from the main road kama Morogoro road maana vya kiluvya tu ambavyo vipo 8 km vinauzwa 1.5 kuna mdau naye alileta uzi huo
 
Kuna mpaka vya 60,000/= we kama.wataka chaa 20m vipo pia, ingawa hata vya 20m vilianza na pori mtu kufyeka naa.kumiliki bure...usijidai unashangaa ujinga hapa.
Hawa ndio wanaoingia kichwa kichwa, laki nane kwa kibaha ni bei ya kawaida sana, mzee wangu alinunua heka pale kwa Mathias kwa laki moja mwaka 2008

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUnazungumzia sheria za nchi gani sijui,si hapa nchini kwetu Tanzania

GEZUZ.
Sheria za Tanzania, serikali ya mtaa haitambuliki kutowa document yoyote ya mauziano ya ardhi, wao jukumu lai ni kuthibitisha tu kama muuzaji ndiye mmiliki na kuverify mipaka. Asikudanganye mtu katika hili hakuna mahakama yoyote ya Tanzania inayoweza kupokea document ya serikali ya mtaa kuthibitisha umiliki wako hakuna.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom