Jipatie kipato cha ziada

dickison80

New Member
Sep 1, 2011
2
0
Je una ujuzi wa wastani wa kutumia computer na mabaye una mda wa ziada ambao ungependa kuutumia ipasavyo kuzalisha aina fulani ya kipato?
Waweza kuwa mama wanyumbani,mwanafunzi, muhitimu katika ngazi mbalimbali za elimu kuanzia sekondari, elimu ya juu na vyuo mbalimbali.
Pengine katika kuhitimu kwako umejaribu kutafuta njia mbalimbali za kujipatia kipato ila kwa namna moja au nyingine umekwama na hauna kipato cha kueleweka.
Copy na paste ukurasa huu kwenye browser yako Part Time Jobs | Data Entry Jobs | Earn Money Online Work From Home | Part Time Jobs For Students | Part Time Jobs For Housewives | EarnPartTimeJobs.com -
Ikiwa umevutiwa, Jisajiri, chagua jinsi utakavyo pokea malipo yako na waweza kujitengenezea mpaka $2000 kwa mwezi, kipato kitategemea na kazi uliyo fanya.

Unachoatakiwa ni kuwa na computer yenye internet na hapa namaanisha kuwa, si lazima uwe navyo binafsi. Unaweza kutenga muda mfupi tu kwa kufanya kazi hiyo kutoka kwenye internate cafe yeyote.
Ni kazi ya kuingiza taarifa za makampuni mbalimbali katika database (DATA ENTRY), taarifa hizi za makampuni mbalimbali ni za kimataifa na huchukua mda mfupi tu kumaliza kazi unayopangiwa kwa siku na waweza kuendelea na shughuli zako nyingine.
Kwa taarifa na maelezo zaidi tembelea ukurasa huu:- Part Time Jobs | Data Entry Jobs | Earn Money Online Work From Home | Part Time Jobs For Students | Part Time Jobs For Housewives | EarnPartTimeJobs.com -
Ukishajisajiri utapata bonus ya $10.
Kila la heri.
 
Ningetaka kusikia kutoka kwa mtu aliyefanikiwa kwa kazi hizi hapa Tanzania, ili nishawishike.
 
Wewe unasema Tanzania! uliza hata huko Marekani ni nani amewahi kunufaika na ujinga huu? ukifuatilia kwa makini utakuta kuna ada ya kujisajiri hapo na ujuwe ndio umeshaliwa.
Hakuna tofauti na promosition za voda na tigo.
 
hao wanaomba registration fee kwanza, sasa kama mtu anataka kazi ili apate hela nawe unamwomba hela ili apate kazi, kuna maana hapo? Huu ni wiz mtupu
 
njaa za kukosa ajira zisituponze hao jamaa ni matapeli balaa..beware
they dont give you anything just they want your money.....tahadhari
 
Kha! Sisi wahanga wa kaz kwel tuna misukosuko ming,kila mahal tunawindwa ili tuibiwe,
 
Je una ujuzi wa wastani wa kutumia computer na mabaye una mda wa ziada ambao ungependa kuutumia ipasavyo kuzalisha aina fulani ya kipato?
Waweza kuwa mama wanyumbani,mwanafunzi, muhitimu katika ngazi mbalimbali za elimu kuanzia sekondari, elimu ya juu na vyuo mbalimbali.
Pengine katika kuhitimu kwako umejaribu kutafuta njia mbalimbali za kujipatia kipato ila kwa namna moja au nyingine umekwama na hauna kipato cha kueleweka.
Copy na paste ukurasa huu kwenye browser yako Part Time Jobs | Data Entry Jobs | Earn Money Online Work From Home | Part Time Jobs For Students | Part Time Jobs For Housewives | EarnPartTimeJobs.com -
Ikiwa umevutiwa, Jisajiri, chagua jinsi utakavyo pokea malipo yako na waweza kujitengenezea mpaka $2000 kwa mwezi, kipato kitategemea na kazi uliyo fanya.

Unachoatakiwa ni kuwa na computer yenye internet na hapa namaanisha kuwa, si lazima uwe navyo binafsi. Unaweza kutenga muda mfupi tu kwa kufanya kazi hiyo kutoka kwenye internate cafe yeyote.
Ni kazi ya kuingiza taarifa za makampuni mbalimbali katika database (DATA ENTRY), taarifa hizi za makampuni mbalimbali ni za kimataifa na huchukua mda mfupi tu kumaliza kazi unayopangiwa kwa siku na waweza kuendelea na shughuli zako nyingine.
Kwa taarifa na maelezo zaidi tembelea ukurasa huu:- Part Time Jobs | Data Entry Jobs | Earn Money Online Work From Home | Part Time Jobs For Students | Part Time Jobs For Housewives | EarnPartTimeJobs.com -
Ukishajisajiri utapata bonus ya $10.
Kila la heri.

angalieni vizuri. jambo hili siyo geni hata kidogo. litawalizaaaaaaaaaaaa
 
hao wanaomba registration fee kwanza, sasa kama mtu anataka kazi ili apate hela nawe unamwomba hela ili apate kazi, kuna maana hapo? Huu ni wiz mtupu
hata kwa kutumia akili ya kawaida. kampuni y a kimataifa itoe data zake ziingizwe tu na mtu hata haeleweki alipo. anyway huyu jamaa kachelewa, nilisoma upuuzi kama huu miaka 7 imepita sasa. yeye analeta leo. heri ya DECI kuliko upupun huuu
 
Inaonekana ni limbukeni wa mitandao so anahisi watanzania tuko desparate wa kazi kiasi hicho, hajui kuwa least developed world mtu hawezi kulipia huduma kwa internet? Mie nkifungua tu nkaona pay to register, hata kama nilikuwa na uhitaji kiasi gani, duh! naifunga hiyo site bila hata kusoma zaidi
 
Huyu jamaa amejiunga JF makusudi ili kutupostia upuuzi wake..kwanza anaonekana ni limbukeni...
 
Nilidhani UTAPELI ni kwenye MAPENZI TU ......kumbe kila eneo???? makubwa!!!!!!!!!!!
 
ila nijuavyo kuna watu humu jf wataenda kujisajili ili kuhakikisha kwa uroho wao alafu watuzuge wakishaliwa. Nashut down
 
hata kwa kutumia akili ya kawaida. kampuni y a kimataifa itoe data zake ziingizwe tu na mtu hata haeleweki alipo. anyway huyu jamaa kachelewa, nilisoma upuuzi kama huu miaka 7 imepita sasa. yeye analeta leo. heri ya DECI kuliko upupun huuu
Hii kitu mimi nilitaka kujaribu miaka mitatu iliyopia. Nikafika mahali kwenye registration wakawa wananitaka niingize credit/Debit card number ili kulipia registration fee, hapo machale yakanicheza. mtoa mada tupe ushahidi wewe umeshakusanya kiasi gani kwa kazi hiyo ya ziada? sio utake wenzio waliwe hela zao za kupostia barua
 
Back
Top Bottom