Jipatie kifaa cha kubalance Ph kwenye maji

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,753
9,568
KWA AFYA BORA JIPATIE CHUPA

Wakati mwingine tunajiletea maradhi pasipo kufuata kanuni za Afya

Wengi wetu hatuna desturi ya unywaji wa maji yaliyo salama na safi, ...
Watalaamu wanatushauri tuzingatie afya zetu kwa kunywa maji safi na salama ya maji yaliyopimwa au kuchujwa vizuri ili kulinda afya zetu na magonjwa mbalimbali yatokanayo na maji yasiyosalama.

Energy cup (chupa) ni kifaa maalum kilichotengenezwa kuweza kuua bacteria wanaosababisha maradhi katika mwili. Kifaa hichi kinabalance Ph kwenye maji na kuyafanya kuwa salama na safi kwa afya zetu. Hukuhakikishia ubora na usalama wa maji unaokunywa.
vilevile kifaa hichi kinakukinga na magonjwa ya kansa.
Husaidia kujenga na kuamsha kinga katika mwili.

Ikiwa utakihitaji kifaa hichi (Energy cup) basi usiisite kunipigia simu no. 0784960517 nikuletee chupa hii inauzwa kwa bei nafuu kwa afya bora na salama au katika karibu kituo chetu ETERNAL INTERNATIONAL DAR ES SALAAM
 
Attachments

  • energy cup doc1.jpg
    energy cup doc1.jpg
    16.4 KB · Views: 49
Kikombe kina balance pH kivipi, kina nini cha kuongeza pH na kupunguza at the same time?

Kikombe kinatumia mechanism gani kuchuja maji?

Energy cup maana yake ni kwamba kina carbs ndani za kuongeza energy?

Na kina kitu gani cha ku fight cancer kikombe hicho?

Umeruhusiwa na Babu wa Liliondo kutumia patent rights zake?
 
Unahitajika ufafanuzi wa kina hapa ili ueleweke

Back
Top Bottom