Jipatie gari aina ya raum kwa bei nafuu

Jipatie gari aina ya raum kwa bei nafuu

Tatizo lina rangi ya "CHINJACHINJA"! huku kwetu ikionekana mtahani hasa nyakati za jioni ni bonge la soo!
 
Hahaaaa, inawafaa wanaojua kuichezea: make huwa ina tumika ndani, siku hizi wanaitumia Uwanjani!
wacha nikawape taarifa maeneo ya Kariakooo!

Wee hupendi rangi ya LIBOLO?
 
hiyo bei nipamoja na ushuru?kama ndivyo nikucheki chap
 
Back
Top Bottom