Jipatie Blog Buree(No further hidden costs)

Dec 3, 2013
28
10
Wapendwa
kwa wale wote ambao mngependa kumiliki blog kwa ajili ya kuweka taarifa na habari mbalimbali
au biashara na mengineyo mnaweza kujipatia very nice designed blogs zenye kila sifa kama website bure kabisa bila malipo yoyote.

Na zaidi utapewa msaada jinsi ya kuweka contents zako kuziwekea hakimiliki pamoja na kuongeza watembeleaji bure kabisa.

Kama umependa hii niPM au piga simu moja kwa moja +255714952266 tutakusikiliza.
 
Kutaja bei ndio ushindani wa kibishara, lakini bila hivyo nini cha kunivutia nikupigie simu?
 
Napenda kukujulisha mkuu mimi nafanya blogging for funny,kwangu mimi sioni shida kumsaidia mtu kutengeneza blog kitu ambacho hakichukui zaidi ya nusu saa kwangu.Pamoja na hayo kila mtu ana malengo yake ndugu yangu usione watu wanatoa discount 99% ukawaona mapunguani.Kama wewe haijakupendeza sawa,walioipenda ofa yangu wameshanicall tayari
 
Tulia ndugu yangu, ninachoongelea sina maaha wewe tu, kuna wengi huwa hawaweki baadhi ya mambo kwa uwazi, na kwa bahati nilivyohoji umekuja na hili kwamba unajitolea for funny kwa punguzo kubwa. Pengine wengine ukiweka wazi inasaidia maana ulimwengu wa leo watu wanapima mambo kwanza kabla ya kuchukua uamuzi.

Nakupongeza kwa jitihada zako, endelea kusaidia wenye hitaji hilo kwani kuna baadhi wenye kujua mambo huwa hawako tayari kuwasaidie wengine.
 
Poa mkuu nimekuelewa,asante kwa pongezi
 
Napenda kukujulisha mkuu mimi nafanya blogging for funny,kwangu mimi sioni shida kumsaidia mtu kutengeneza blog kitu ambacho hakichukui zaidi ya nusu saa kwangu.Pamoja na hayo kila mtu ana malengo yake ndugu yangu usione watu wanatoa discount 99% ukawaona mapunguani.Kama wewe haijakupendeza sawa,walioipenda ofa yangu wameshanicall tayari

Nijuavyo mimi na si mimi tu ila ulimwengu mzima kawaida hua hakuna

FREE SERVICE YAANI IWE BURE TU!!!!!
DUH......

Kama umeamua kujitolea kiasi icho
UBARIKIWE SANA MKUU
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom