Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,262
- 1,395
- Thread starter
- #3,681
Ipo hivi kuna brand zina card zao za warranty kama Samsung,LG,Sony, na brand nyingine kubwa zile lazima ujaze warranty card kwa brand za kawaida huwa unaangalia warranty iliyo andikwa kwenye bidhaa husika hizi nyingi huwa za mwaka mmojaHivi naomba kuuliza mkuu wewe kama mfanyabiashara utanipatia jibu sahihi napoomba warranty unaponiambia miaka 2 ili ikamilike inabidi kuna card special uijaze au ni maneno tu na vipi kama maneno matupu huwezi kunikataa baadae mkuu kama mfanyabiashara ni njia inafanya warranty iwe valid.Ahsanteh
Pia kuna bidhaa hazina warranty kabisa sasa pale ndio inategemea makubaliano yako na alie kuuzia