Jipangeeeee

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Mmh nchi za watu bhana.......eti mpka umpate mtoto(mwanamke) muunguja au mpemba kama ni mtanganyika lazima upite stages tano....

1. Kumtongoza na vocal za maana... mpaka akubali...
2. Akikubali, Kumshawishi mpaka afike gheto Jipange haswaaa..
3. Akifika gheto nje vocal tena ili aingie ndani.....
4. Akiingia ndani mpka avue nguo lazima uwe na sound kama mvua za dar...
5. Stage ya mwisho ni mgegedo tu ila convincing power lazima iwe juu...

Jaman kuna ukweli hapo......ila wao kwa wao haina shida kabisaaaaa
 
Ngoja tuwasubiri waje kutoa ushuhuda
 
Ko ko kooo watu wa ng'ambo fungueni milango mnaitwa nje kuna topic inawahusu
 
Wewe kweli mgeni, hawahitaji masound marefuuuu, moja kwa moja omba 0713 yaani fasta unapewa kifurushi cha wiki, tena unlimited.
 
Wewe kweli mgeni, hawahitaji masound marefuuuu, moja kwa moja omba 0713 yaani fasta unapewa kifurushi cha wiki, tena unlimited.

Daaaah umenifanya nicheke sana mkuu kizaizai ..... 0713 bila sound napata mzigo
 
Last edited by a moderator:
hawa watu tuliwaoa, lakini wamekuwa wasumbufu sana...


hii ndoa nashauri ivunjwe bila kuandika talaka.
 
Last edited by a moderator:
Natamani Everton amfunge mtu ili heshima irudi mtaani.
 
Excel daaah ni noma aiseeeee
mbali na mapenzi, wazanzibari tunao vyuoni mwetu, wako kiselfish selfish tu na kujitenga tenga sana!!

hivi kwanini ulazimishe penzi jamani? hebu we Tanganyika, andika talaka, mpe Zanzibar uhuru wa kutembea nje...
 
Hizo ni ndoto za alinacha. Ni km binaadamu wengine...tofauti ni kuwa mapenzi hawayachukulii kitoto. Kwao ni jambo muhimu na linalohitaji staha, utu na uthabiti.
 
Hizo ni ndoto za alinacha. Ni km binaadamu wengine...tofauti ni kuwa mapenzi hawayachukulii kitoto. Kwao ni jambo muhimu na linalohitaji staha, utu na uthabiti.

Hata mtu uwe na hivyo vyote lakini bado
 
Yawezekana... lakini wanahisi kama mtanganyika hana future.... thats why wana stick na watu wao ili waende sawa

basi sawa, tuwaombe mods walihamishie kwenye lile jukwaa mahususi la hiyo mambo ili michango iende sawa
 
basi sawa, tuwaombe mods walihamishie kwenye lile jukwaa mahususi la hiyo mambo ili michango iende sawa

Mode ombi maalum.... peleka hii jukwaa maalum ili wahusika waseme kama ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…