Kwa wachezaji kawaida saana, kuthamini, kuheshimu kile anachofanya mwingine, wachezaji kibao wameshajaribu kushangilia kama CR7.
Mie mshabiki wa simba, sioni kama ni ajabu, kwamba jamaa kaja na kitu tofauti wamekipemda, sisi mashabiki maandazi ndio tunaleta unazi,
Mwanangu home anashangilia kama mayele.