Jionee Kiwanda cha kilevi haramu "GONGO" (Gongo production)

aisee NGULI ''jabali'' niaje mazee?!

will call you leo jioni
 
Viwanda kama hivi vikiendelezwa nani anajua labda siku moja vitakuja kushindana na konyagi. Local technology hiyo...
 
CHANG'AA THE AFTERMATH

sasa hapo wanapotengenezea kama sikosei ni sehemu ya maji machafu,ina maana ndio wanayoumia? Niliwahi kusikia kuwa gongo hutengenezwa pia kwa kinyesi cha binadamu, naomba nipatiwe uhakika
 
sasa hapo wanapotengenezea kama sikosei ni sehemu ya maji machafu,ina maana ndio wanayoumia? Niliwahi kusikia kuwa gongo hutengenezwa pia kwa kinyesi cha binadamu, naomba nipatiwe uhakika

Ili iwe kali inahitaji acid ya kinyesi cha mwanadamu japo haiwekwi wazi, watengenezaji wakilewa huwa wanatoboa siri,
 
Small Scale Industries (SSI). Uyo jamaa rasta hapo juu stimu imemuingia hadi manywele yamemsimama. Sio mchezo ati!
 
hapa naona kama kitu kimeachia....hivi huo mlipuko utakuwa tofauti na bomu?
 
hapa naona kama kitu kimeachia....hivi huo mlipuko utakuwa tofauti na bomu?

ha ha ha Preta, u didnt reach my calls the reasons are best known to yuaselfu. mtambo uliachia hapo na si ajabu alikufa mtu
 
Kenya tayari wameligalize hii kitu bado Bongo.
 
hapa naona kama kitu kimeachia....hivi huo mlipuko utakuwa tofauti na bomu?

Yep - Hapo ni zaidi ya Mabomu Mbagala - Kumbuka kuwa huo mchanganyiko tayari upo kwenye "boiling point" !

Lakini haya mazingira yanatisha - Looks like maeneo fulani karibu na Kiwanda cha sukari TPC Moshi?
 
GONGO
Its a local brew.Its commercially known as :
-Robot
-Ngoo
-Mjomba
-Kabhayula
-Inua mioyo
-Tukae chini
-Burandi
-Ndugu
-Obhudeu and Makaa ya mawe

But the
1. Chemists define it as a poison.
2.The Biologists
define it as hazard.
3.The Pathologists calls it narcotic
4.The Sociologists call it waste
5.The Economists call it parasite
6.The Physiochologist s call it deceiver
7.The Criminologists call it accesory after the fact in crime
8.The Pessimists
call it kill me
quick
-Remember it is bad enough to be dead but it is sometimes worse to be half dead.Gongo kills indirectly and escape the blame!
 
ha ha ha Preta, u didnt reach my calls the reasons are best known to yuaselfu. mtambo uliachia hapo na si ajabu alikufa mtu

jamani jamani...I apolojaizi.....siwezi kufanya hii....ni kwamba ilikuwa nje ya uwezo wangu....halafu mbona hukuja tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…