Jionee binadamu tulivyo na roho ngumu

Jionee binadamu tulivyo na roho ngumu

crucified.jpg
 
kadoda11 Ndivyo ilivyo dunia, haina huruma kama alivyoimba Bahati Bukuku.
Afu vipi ile issue niliona eti kuna Wabongo 7 wameuawa na kuburuzwa hadi Zambia mpakani. Imepigwa kimya ama vipi.

hiyo ya zambia bado sijaifatilia vizuri kwenye media.hata mimi nimesikia.
 
Last edited by a moderator:
Hata hivyo na yeye anaonekana mtata sema tu wenzake walimuwahi. Lakini daaaaahh kwa maumivu aliyopata anaweza kujihisi kama na yeye amezaliwa kwenye ukoo wa Yesu aiseee....
 
Aaargh! Waarabu wametisha! Duh
 
Mungu atusamehe,maana hata kwenye ukatili wa kinyama
 
Back
Top Bottom