Jiogarifia unaijua?

Jiogarifia unaijua?

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
604
Reaction score
149
Jamaa mmoja ambaye yeye ana tabia ya kuonekana anafahamu kitu katika ulimwengu huu wa sayansi na technologia. Siku moja aliadhirika baada kuwatambia watu kwamba yeye ni miongoni mwa watu wachache walitembea nchi mbalimbali za nje, jamaa huyo alianza simulizi yake kwa kusema kwamba alipotoka Tanzania akafika south Africa, baada ya hapo akaelekea Uingeleza na siku hiyo hiyo alienda kulala Marekani lakini pakamboa ndipo tena siku hiyo hiyo aliamua kwenda kulala Dubai.

Watu walimshangaa yule jamaa kwa kueleza vitu ambavyo haviwezekani na ndipo mtu mmoja akamuuliza, hivi wewe unaijua jiografia vizuri na ndipo alijibu kwamba "tena nashukuru umenikumbusha jiografia naijua vizuri sana tulipita asubuhi tukanywa chai na nilinunua viatu ndipo tukaondoka, jiografia ni pa zuri sana!" Watu ilibidi wacheke kwani yeye jiografia alimaanisha ni nchi.

Tehe Tehe kwikwi! mbumbu!
 
Mwenyewe nimeishi sana pale jiografia, pazuri pale hata jua lipo...
 
Jamaa mmoja ambaye yeye ana tabia ya kuonekana anafahamu kitu katika ulimwengu huu wa sayansi na technologia. Siku moja aliadhirika baada kuwatambia watu kwamba yeye ni miongoni mwa watu wachache walitembea nchi mbalimbali za nje, jamaa huyo alianza simulizi yake kwa kusema kwamba alipotoka Tanzania akafika south Africa, baada ya hapo akaelekea Uingeleza na siku hiyo hiyo alienda kulala Marekani lakini pakamboa ndipo tena siku hiyo hiyo aliamua kwenda kulala Dubai. Watu walimshangaa yule jamaa kwa kueleza vitu ambavyo haviwezekani na ndipo mtu mmoja akamuuliza, hivi wewe unaijua jiografia vizuri na ndipo alijibu kwamba "tena nashukuru umenikumbusha jiografia naijua vizuri sana tulipita asubuhi tukanywa chai na nilinunua viatu ndipo tukaondoka, jiografia ni pa zuri sana!" Watu ilibidi wacheke kwani yeye jiografia alimaanisha ni nchi. Tehe Tehe kwikwi! mbumbu!
Ephrahim Kibonde bwana ananiacha hoi, eti alipofika Jografia akapanda British Airways
 
Back
Top Bottom