Jinsia ya kike mbadilike

risasi imepigwa hewani waoga lazima wajikunyate
 
Chunguza kwanini wanawake wazuri wazuri ndo wanajiuza mijini na wengine wahudumu bar....kumbe ni laana zetu wanaume......
 
Je wanaume tunaruhusiwa ku comment hapa? Maana naona wavulana wameshaanza...
 
We lia tu kwa sauti usijirundikie masum mwilin ...... Believe your self ...!
 
Umenena ukweli mtupu. Huwa najiuliza sana kuwa hawa mabinti wanapambiwa tu ni warembo na anajiona **** anayo basi anahisi kila mwanaume anaweza kumwendesha atakavyo yy. kumbe sivyo ni ulimbukeni tu ndo umewajaa. Hawa wanaojiona wazuri hakika wataishia kuchezewa tu.

Ila pole maana inaonekana umeumizwa kwel kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…