Wadau mimi na mpenzi wangu tumepima VVU na tupo salama. Mpenzi wangu haenjoy kabisa tendo kwa kutumia kondom na wala hanifichi karaha anayoipata. Pamoja na hayo sijahitaji mtoto kwa sasa hivi.
Jamani wadau ili kuzuia mimba zisizokua planned, naombeni mnisaidie mbinu rahis za kuzuia mimba. wapo wanaoniambia anywe Coca baada ya tendo, wengine wanasema anywe Zentel
Naombeni mwenye kaujuzi afunguke