Kuna uhusiano gani, maji baridi na kuzuia mimba baada ya tendo la ndoa?

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,306
Unatakiwa kuwa mwangalifu wakati wa kufanya mapenzi hasa kama huna mpango wa kuwa mama au baba.

Kwa sasa maji baridi yanavyosaidia mwanamke kutoshika mimba baada ya tendo la ndoa, je kuna ukweli juu ya jambo hili?
 
Haina ukweli hiyo... Kama ni kuweka ubaridi... Kumbuka mwili ni automatic unaregulate joto la ndan kulingana na mahitaj..... Hadi hali inapokuwa ngumu sana ndo itafanyika plan b....
Lkn sio easy kuharibu mimba kwa temperature
 
Back
Top Bottom