Suma drago
Member
- Jul 15, 2019
- 11
- 14
Wakuu nilikua naomba msaada JUU ya manunuzi ya mtandaoni. natamani kuwa mfanyabiashara wa vitu vya Electronic ambayo kwenye site ya alibaba vinauzwa kwa bei rafikiila changamoto huwa ni kuvisafirisha, ila nasikia kuna wasafirishaji wakitanzania ambao ndo hao silent ocean. nilijaribu kuwasiliana nao wanipe address yao ya China ikawa hatuelewani, mimi nataka address wao wananitumia picha nyenye maandishi ya Kichina, hivyo basi narudi kwenu ndugu zangu naomba msaada