Jinsi ya kuwa tajiri

Jinsi ya kuwa tajiri

kuwa tariji panategeme kwanza kabisa lazima upate maarifa ya fedha na namna ya kuzihandle,lazima ujue watu waliofanikiwa wanaishije, lakini pia una hitaji uwe na kunnection ya watu waliofanikiwa au tunasema lazima rafiki zako wawe wamefanikiwa, jifunze uwekezaji, kufanya kazi kwa bidii, tafuta njia za kujiingizia kipata, fanya kazi na watu vizuri,usikatee tamaa, kuwa na mpango wa jinsi gani utaweza kutimiza ndoto yako kama huna mpango pasi hautapat uekeo wowote
 
Ahsante sana
 
Jifunze kuwa na roho mbaya nyuma ya Kila tajiri Kuna umafiya mkubwa sana ukiwa na roho nyepesi hutoboi
 
Hao teyari wameshajitafuta, na uchumi wao upo vizuri, hata akila bata mwezi mzima, hawezi ku affect mtaji wake in a negative way , still bado atakuwa vizuri,

Sasa, kama wew ndio unautafuta utajiri, usifanye hivyo, utakuwa unapiga hatua 3 mbele, hatua 10 nyuma..
Noted
 
Utajiri ni complex ishu na unatokea KWA njia nyingi tu za kutegemea au kutotegemea.
Pana jamaa kanunua jiwe kwa milioni 2 kaenda uza bilioni 36.
Pana jamaa kapiga malikale kapata mgawo bilioni 40.
Lala masikini amka tajiri.
Kupata ni foleni ngojea ya kwako
Mhmh
 
Back
Top Bottom