duu jaman pesa ukitoa kama mtu hajakupenda inageuka kuwa unachunwa.
Mara nyingi huwa tunapata maumivi ya moyo ukigundua unachunwa. Pia usipotoa hela unaweza kushangaa unaachwa na mahusiano yanaisha kabisa .sasa hili swala la pesa linasura zisizotabirika na kueleweka na kama kucheza kamali
i prefer gumbling kwani mkono mtupu haulambwi penye uzia penyeza rupia