Jinsi ya kuwa mwanaharakati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kuwa mwanaharakati

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Washawasha, Mar 2, 2011.

 1. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Habari zenu wana jamvi?binafsi natatizwa sana na tafsiri nzima ya neno Mwanaharakati kwahiyo nilikuwa naomba msaada wenu
  1.Nini maana ya mwanaharakati?
  2.Ni sifa/elimu gani anatakiwa awe nazo mwanaharakati?
  3.Nini shughuli za mwanaharakati?
  Naomba kueleweshwa katika hili tafadhali inawezekana na mimi nikawa Mwanaharakati siku zijazo
  Nitanguliza shukurani zangu.
   
Loading...