Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Marafiki,
Nilikuwa najiuliza hapa, ni jinsi gani naweza kuwa mod wa jf hasa jukwaa la mapenzi. Inatakiw nijue sana mapenzi au? na vigezo vingine hasa ni vipi? Kwa anayefahamu tafadhali, Asanteni