Crispin Nyoni
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 413
- 90
Habari wadau.
Ninaomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ninavyoweza kuwa mchawi(mwanga). Lakini nawaahidi sitautumia vibaya kuwadhuru wengine. Nawasilisha
Usipoteze muda hakuna uchawi. Na ndio maana wanasema ni siri. Labda ulikuwepo zamani sema wengi wamekufa kwa sasa
Nilijua lazima NGULI usogee..hujatupa mrejesho kuhusu ule uzi wako!
Habari wadau.
Ninaomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ninavyoweza kuwa mchawi(mwanga). Lakini nawaahidi sitautumia vibaya kuwadhuru wengine. Nawasilisha
hakuna aliyeloga japo nimewapa majina yote matatu na wengine wametaka nguo nimewambia wachukuwe hakuna kitu.
Unadhani uchawi ni kua kama Spiderman au Superman au Batman?
Hahaha watoto wa sekondari bna, walewale akina tunaowaita warembo, huyo mchawi ambaye atakuja kukufundisha ili kumpima kama ni mtaalam kweli mwambie akupe details mimi naitwa nani, natokea wapi na sasa niko wapi, kupitia kuangalia tu username yangu ili aonyeshe kweli kama ni mbabe, tena apost humu tuone, akishindwa hakuna lolote, fix tu
Kwani uchawi una faida gani tofati na kuwadhuru watu.