ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,142
- 17,621
Hii mada imekaa poa sana ukizingatia mswada huu unaokuja ukipitishwa
Katika PDF yako nimependezwa na huo utumiaji wa TOR Browser na anonymous email ukizingatia watu wengi utumia emails zinazoendana na majina yao au hata kama email iko unique bado wanaandika real names kiasi kwamba ukimtumia email utaona jina lake halisi
Pia katika Android na PC mtu unaweza kutumia VPN kama Hotspotshield ambazo ni Free kuficha data zako maana TCRA wanaweza kukinukisha
Nimewai kuona Taarifa ya habari kenya mwanafunzi wa chuo akifungwa kisa kumtukana rais wake FB sijui data zake walizitoa wapi
Kuna forum moja ughaibuni ambayo ni multi-country forums mtu alipigwa Ban kwa kosa fulani kila alipokua aki create ID mpya na kuwatukana watu walikua wanatoa Evidence ya nchi alipo na vitu kadhaa kuonesha exact location yake
Hivo hili swala ni muhimu
Me siamini hawa watu wenye mitandao si wajinga kama mnavyowachukulia,wanajua kila kitu hata kama uwe na hiyo,wakiamua kakutafuta watakupata tu,na Kwa sababu hiyo wazungu uwa kila wanasema "African people think we are crazy and we know nothing about them but they must know we are not crazy and we are watching them"kila kitu na wakiamua kwa sababu zao wanakukamata,kuna mshikaji wa ivory cost alikuwa anapiga kaz ubalozi wa nje ya nchi akawa anapiga sana deals kumbe jamaa washajua man na uyo jamaa alikuwa na mke wake mzungu na walikuwa wanafanya kaz wote ubalozi lakin mwisho wa siku walimkamata man,wazungu wapo mbali sana au hawa walioanzaisha hii mitandao wakiamua kakutafuta uwe unatumia nini au nini watakupata tu,nina mifano mingi tu nimejionea kwa macho yangu ndugu yangu
Point hapa ni Tanzania institutions kuomba Logs za wateja wa Kampuni ya HSS ambayo haiko based in Tanzania.
Sijui hicho kitu kama kinawezekana kwa mazingira ya kwetu hapa...Labda Hiyo issue iwe ina involve kuvuruga world peace.
Misuse zinatokea nyingi online kuanzia Downloading Copyrighted material ila hawa VPN/Proxy providers zaidi ni kwamba ISP wao ata suspend hizo server basi
Me siamini hawa watu wenye mitandao si wajinga kama mnavyowachukulia,wanajua kila kitu hata kama uwe na hiyo,wakiamua kakutafuta watakupata tu,na Kwa sababu hiyo wazungu uwa kila wanasema "African people think we are crazy and we know nothing about them but they must know we are not crazy and we are watching them"kila kitu na wakiamua kwa sababu zao wanakukamata,kuna mshikaji wa ivory cost alikuwa anapiga kaz ubalozi wa nje ya nchi akawa anapiga sana deals kumbe jamaa washajua man na uyo jamaa alikuwa na mke wake mzungu na walikuwa wanafanya kaz wote ubalozi lakin mwisho wa siku walimkamata man,wazungu wapo mbali sana au hawa walioanzaisha hii mitandao wakiamua kakutafuta uwe unatumia nini au nini watakupata tu,nina mifano mingi tu nimejionea kwa macho yangu ndugu yangu
Mkuu kumbuka hapa tunaongelea Anonymity Online...
Na iwapo case yako ni ya kuvuruga Amani ya dunia hapo ndo kutakuwepo ushirikiano kati ya anonymity tools unazotumia na nchi yako...tofauti na hapo ni Vigumu mkubwa
Unavyofikiri watu wanao hack kwenye Companies kubwa wanatumia njia gani wasiwe traced tena wengine ujaribu kuingilia mpaka taasisi za serikali zao?
Mfano,Angalia ile video ilokua ikisambaa whatsaap ya wale jamaa walovamia Jeshi la police na kuwanyanganya silaha...Ile naweza chukua ni kama Terrorism lakini TCRA na Jeshi la polisi wameshindwa kushirikiana kujua source ya video ni kutoka kwa nani?May be because njia walotumia i.e Whatsaap ipo secure
Hivo mm na imani kama hao jamaa wameshindwa kujulikana kwa njia hii,hivo hivo sitegemei eti mtu aandike kitu dhidi ya Mafisadi mtandaoni afu atafutwe akamatwe...Kuna challenge kubwa sana.Ila unasitizwa kutumia hizo njia ya kuwa anonymous kwa usalama wako
Nafikiri neno liko clear labda ueleze tena basis ya kuuliza swali lako ni nn ila tu ni clarify kwamba utabaki anonymous if and only if Provider wa anonymity tool ulotumia hajakufichua...What is anonymous then ?
We are committed to your privacy and do not collect or log traffic data or browsing activity from individual users connected to our VPN
Me siamini hawa watu wenye mitandao si wajinga kama mnavyowachukulia,wanajua kila kitu hata kama uwe na hiyo,wakiamua kakutafuta watakupata tu,na Kwa sababu hiyo wazungu uwa kila wanasema "African people think we are crazy and we know nothing about them but they must know we are not crazy and we are watching them"kila kitu na wakiamua kwa sababu zao wanakukamata,kuna mshikaji wa ivory cost alikuwa anapiga kaz ubalozi wa nje ya nchi akawa anapiga sana deals kumbe jamaa washajua man na uyo jamaa alikuwa na mke wake mzungu na walikuwa wanafanya kaz wote ubalozi lakin mwisho wa siku walimkamata man,wazungu wapo mbali sana au hawa walioanzaisha hii mitandao wakiamua kakutafuta uwe unatumia nini au nini watakupata tu,nina mifano mingi tu nimejionea kwa macho yangu ndugu yangu
Nafikiri neno liko clear labda ueleze tena basis ya kuuliza swali lako ni nn ila tu ni clarify kwamba utabaki anonymous if and only if Provider wa anonymity tool ulotumia hajakufichua...
Privacy policies za provider wako pia ni muhimu kuzisoma kabla kujiingiza katika hiyo kitu...
Providers wengi wa VPN wameweka cleary hilo swala la Traffic logs katika tovuti zao
Mfano quote moja hii hapa
Lakini ikumbukwe kuna Proffesinalism dillema pia ambazo zitabidi ku favour law...
e.gDaktari haruhusiwi kutoa information za mgonjwa kwa watu wengine lakini ikitokea Any Pilot anaumwa Epilepsy(kifafa) lazima atoe report kwa umma ili ku secure others...Hivo hivo VPN Anonymity itabaki anonymity iwapo Offense ulofanya haiharibu world/country peace
Je, mifano yako ina technical know-how au ni stori za kusimuliana?
Siyo stori za kusimuliana vijiweni ndugu,ujue ivyo na uyo jamaa mpaka leo amefungwa i cant tell u all,ni hayo tu ndugu
Huenda hujaelewa point yangu.....
Man sio kila kitu kinawezekana usiamini misemo ya watu, World hackers wapo wangapi na they're still safe ?
Mfano hackers wa Turkey waliisaidia mpaka Serikali yao kwenye kufanya Uchaguzi ili kuhakikisha hakuna wizi wakura unaotokea na walifanikiwa ata bila kujulikana.
RedHack Hackers Want to Make Sure Elections in Turkey Are Fair - Softpedia
Ni sawa na hapa TZ tunataka uchaguzi wa vimashine ambavyo hatujui ata vinafanyaje kazi....
Nashindwa ku go too far kwasabu this place is getting Thug kwa kuchanganya na siasa, kitu ambacho nakipinga sana, kama siasa ulizo ziandika wewe hapa mkuu zakuongea tu kwamba mtu flani alikamatwa sijui mke wake ivi na ivi.
Am out of this politics.
Soma post yangu #16