Jinsi ya kuunga internet na dstv for free !!!!

Acheni kufundishana wizi humu mnatutia aibu JF sio forum ya wahuni aka hackers. Hapa ni forum ya watu wenye akili na waungwana. Ungeleta hoja ya namna gani tupige kelele ili bei za hivi vitu zipungue ningekuunga mkono lakini sio hoja za kihuni za kuana kuiba. Tubadilike
 

wewe utakuwa wa zama za nawe mkuu!!!
 
Senior manager unataka vya wizi. Mashirika yetu yatapona kweli? Nna mashaka!!!
Ni hao hao wanaopiga kelele hapa kulaani ufisadi. Huo ni nini? Na ukishapata nafasi katika serikali au shirika la umma utabadilika au ndiyo sasa uko kwenye mazoezi kwa vitendo?
 
Wadau hyo kitu ya free dstv ipo na nimewahi itumia kwa kweli una piga ile package ya premium free bila chenga ila kwasasa frequencys wame badili ndio nazitafuta tena niendele kudunda. Naogopa kuacha contcs ila chc m via hii mail eddy@inmail24.com
 
unaonekana mhafidhina!!!
Ha ha ha haaa umekosea kabisa ila sipendi tu hii tabia imezuka siku hizi ya watu kupenda short cut. Yaani sasa hivi imefika mahali kuelewa mambo, kufanya kazi kwabidii na maarifa sio kigezo tena cha kupata mafanikio. Watu ni deal tu, utapeli, wiziwizi, yaani nchi inageuka Nigeria hivihivi.
 

Hey guy, nimeipenda hii ipo cool,can we have a more detailed discussion on this free dstv issues,coz i cant wait to have it, as long as is guranteed i am willing to go the extra mil in cost coz i really love intertanment,i will keep in touch with you.
 

mkuu heshima yako, naomba number ya huyo fundi mkuu anisaidie kuchakachua yangu.
 

Tabu ya hizi dongle ni huwa zinaacha kufanya kazi kukitokea mabadiliko yoyote kwenye server za dstv kwaiyo ni risk... Njia salama ya kulipa kidogo ni kulipa as if upo zambia... Unakua unalipa elfu 52 kwa mwezi kwa kufurushi kilekile cha 120 nadhani wenyewe kule wanafanyiwa bei chee sababu ya thamani ya pesa zao
 

unalipiaje kama pesa ya zambia mkuu na wewe upo tz,tiririka zaidi tafadhal kama uko uncomfortable please ni PM
 
unalipiaje kama pesa ya zambia mkuu na wewe upo tz,tiririka zaidi tafadhal kama uko uncomfortable please ni PM

Ni rahisi decoda ni zile zile sema mi nilinunulia zambia na kuisajiri kama naishi kule hata nilivyohamia dar naendelea kulipa dola 35 kwa mwezi...
 
Hello, wadau kuna mtu yeyote anayejua ni vipi ntaweza nikapata internet service ya wizi na bei nafuu....na kuchakachua niweze kupata dstv channels for free.....coz nimesikia kuna watu wafanya hio michezo town hapa!!!
Senior Boss halafu mwizi?
Unajidhalilisha
 
Last edited by a moderator:
unalipiaje kama pesa ya zambia mkuu na wewe upo tz,tiririka zaidi tafadhal kama uko uncomfortable please ni PM

Njia nyingine ni kuteam up na rafikizo mkachukua bando kubwa ya hoteli na mkapewa kadi kibao kila mtu akawa anatumia kwa nafasi yake unaweza ukajikuta unalipa hadi 20 kwa mwezi kwa wastani sema ni kazi kuhamasisha watu
 

Mkuu hii kiswanglish yako nimekoma
 
hivi kweli mtu anaomba afundishwe wizi? hii nchi tunaipeleka wapi, nahisi upeo wa mtoa uzi utakuwa na walakini huwezi omba kufundishwa wizi tena hadharani, hivi unalipa kodi kweli wewe? Kwa tabia hizi umasikini hautakwisha tz.
 
hivi kweli mtu anaomba afundishwe wizi? hii nchi tunaipeleka wapi, nahisi upeo wa mtoa uzi utakuwa na walakini huwezi omba kufundishwa wizi tena hadharani, hivi unalipa kodi kweli wewe? Kwa tabia hizi umasikini hautakwisha tz.

hao dstv wenyewe wanakuibia we baki na ukajanja wako,if u do me i do u.. mwenye maujanja tafadhali atumwagie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…