JINSI ya Kuunda whatsapp invite LINK ya group

BongoTechno

Member
Jan 22, 2017
27
13
Habari zenu wasomaji wa makala zetu, Leo tunelezea jinsi ya kuunda whatsapp link invite Group ambalo sio jambo geni sana kulisikia Kama unataka kuunda/kutengeneza link ya
kujiunga katika Group lako la WhatsApp , ambapo utashare link hiyo ili mtu ajiunge katika group lako, Hivyo kuwa na mimi mwanzo hadi mwisho katika makala hii

HATUA ZA KUFUATA

HATUA ya 1. Kwanza fungua whatsApp katika smartphone yako.

HATUA ya 2 : chagua group unalotaka kutengeneza invite link kisha nenda kwenye "INFO" za group

HATUA ya 3: Bofya kwenye "ADD
PARTICIPANTS"

HATUA ya 4 : Baada ya hapo sasa utaona option ya "INVITE GROUP VIA LINK"

Baada ya hapo utacopy hiyo link na kushare na marafiki ili waweze kujiunga katika group hilo.
Kwa kufuata maelekezo hayo yote basi hapo utaweza kuunda whatsapp invite LINK group ........

SOMA HIZI :

BONGO TECHNO: JINSI YA KUZUIA MTU KUJUA KAMA UMESOMA UJUMBE WHATSAPP

BONGO TECHNO: Njia rahisi ya kuhamisha data kutoka kwenye Android kwenda kwenye PC / Laptop
 
Back
Top Bottom